Leo tarehe 12 , 2026.

Utopolo watakuja kusema hapa Tunaomba udhitisho wa muamala
Tutakuamini vipi?
Hahaha wananijua kimoyo moyo πŸ˜…πŸ˜… kimilioni cha watoto nacho cha kutata uthibitisho πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bwashee..... uko na bia ya ngapi nimkataze waitress asikuhudumie tena
 
Ndio maana hata matumizi ya pesa zako ni ya kitoto! Mimi simba kindaki lakini siwezi kufanya utoto kama huo
 
Ulijuaje kuwa kwao na rafiki yako ni wa kishua:

Me: Baba yake alituma milion 1 kufanyia short time party baada ya Simba kuifunga Yanga .
 
Sawa
 

Attachments

  • IMG-20261006-WA0024.jpg
    53.6 KB · Views: 6
Ulijuaje kuwa kwao na rafiki yako ni wa kishua:

Me: Baba yake alituma milion 1 kufanyia short time party baada ya Simba kuifunga Yanga .
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mimi ni mimi sio wewe kwa baba yako sasa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…