Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Subiri siku Lisu akiwafanyiq cross examination wakina Wambura na Mgunda utafurahi
Hawa Lisu hatowafanyia cross examination maana ni mashahidi wake atakichokifanya Lisu ni re-examination baada ya cross-examination kufanyiwa na mawakili wa Jamhuri
 
Mkuu ukiwa na mawakili sio lazima wote waongee kizimbani, ila kazi yao ni kukusanyia taarifa mbalimbali za mwenendo wa kesi. Ni kipi huelewi hapo?
 
Huu mbano aliobanwa Heche sio wa nchi hii, ni kama walimkamia yeye tu. Kweli mahakamani sio kwa "mama yako" aisee!!!
Heche alivyomzuri kwenye kujenga hoja na kupangua hoja Leo kawa kama piritoni?
Mahakamani kuna namna ya kujibu maswali ya dodoso, Ni ndio,hapana,sijui n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…