Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Kwani ukuelewa jibu la Msingi kukuonyesha wingi wangu

Ulitakiwa useme kwenye wawili sio wengi tuendelea na Mjadala wa umoja na wingi

Lkn kujifanya Mwalimu wa kiswahili safi ❗️nikukificha kichwa kwenye mchanga kukimbia msingi wa hoja yako ❗️
Miongo yangu 6 ya kuwa hapa duniani siwezi kuhangaika na kujua "lkn" ni nini, au "ukuelewa" unamaanisha nini, ila uandishi wa hivi ndio ulinikimbiza Facebook miaka 13 iliyopita, sikutegemea kuwa nitaukuta huku tena!
 
Anao na zaidi ya mara moja ameiambia mahakama anaomba ajadiliane na mawakili wake. Atakosaje mawakili wakati yeye yuko magereza na wao ndio wanaweza kumpatia baadhi ya taarifa anazozitaka kwa ajili ya mwenendo wa kesi? Unachanganya kaumua kujitetea mwenyewe, na kuwa na mawakili. Fanyia kwanza kazi ukweli huo, kisha uje ujadili hayo mengine boss.
Kuna watu ni vilaza balaa humu.
Huyo haelewi tofauti ya kujitetea mwenyewe na kuwa na mawakili.
 
Kwenye Kanuni za Logic
Kweli + Uongo = Ni uongo.
Kweli + Kweli = Kweli
Uongo + uongo = Kweli.

Katugwa anachofanya ni kuondoa imani ya mahakama kwa Shahidi
Wewe naye ujuaji unakuzidi...hata kwa akili ya kuvuka barabara uongo na uongo hauwezi kuwa hata chembe ya kweli achilia kweli yenyewe.
Usikariri kila ulichofunzwa shule ,hata jinai ipindishwe vipi haiwezi kuwa haki.
 
Mahakamani inatumika Logic na ushahidi usiyo acha shaka zaidi badala ya maneno ya kusikia au kuambiwa. Ndo maana kuna watu huwa wanamakosa lakini ushahidi huwa unashindwa kujitoleza.

Anachosema hapo jamaa ni kwamba Heche kwenye upande wa Logic keshawekwa kwenye kona. Na kila swali linaloulizwa lina umuhimu wake wewe usifikiri hayo maswali hayana maana hata kama yanaonekana ya kitoto.

Heche anaonesha hali halisi ya viongozi wa Chadema na wafuasi wao kwamba huwa wanafikiri kitu kikisemwa na Taasisi ya Kimataifa, au mtu maarufu au chombo cha habari maarufu basi wanaweza kukitumia bila kujiridhisha.

Wafuasi wa Chadema tumieni hii kesi kujifunza namna mahakama zinavyofanya na siyo kutumia mihemko na maneno ya kutiana moyo. Kuna mwanamke huko marekaji kesi yake imeshindwa kuamriwa pamoja na kwamba aliaua watoto wake watatu.

Wafuasi wa Chadema na Watanzania tutumie hizi kesi kujifunza. Itatusaidia kutofanya vitu kwa mihemko kwani mahakamani au kwenye kudai haki hakuna mihemko
Mimi binafsi nimejifunza taaluma ya sheria nayo ni ubatili tu maana muuaji anaweza kutetewa na akashinda ilihali alistahili hukumu tofauti.
Kwa mtu mwenye utu pengine si kazi ya kufanya kama kujihusisha na siasa.
Kuna mambo wanaongea mawakili na wanasheria hadi unabaki kushangaa,ni kipato kinadrive yote haya ama ni kitu gani 💔
 
..masuala ya uenguaji wa wagombea wa Chadema wakati wa uchaguzi yanajenga msingi wa kauli mbiu na msimamo wa Chadema wa " hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi. "
Mkuu hao ni vcccccm huwa hawatumiii akili sasa mtu mwenye akili timamu hivi angeshangaa hilo?
 
Mimi binafsi nimejifunza taaluma ya sheria nayo ni ubatili tu maana muuaji anaweza kutetewa na akashinda ilihali alistahili hukumu tofauti.
Kwa mtu mwenye utu pengine si kazi ya kufanya kama kujihusisha na siasa.
Kuna mambo wanaongea mawakili na wanasheria hadi unabaki kushangaa,ni kipato kinadrive yote haya ama ni kitu gani 💔
Ndo maana nikasema kesi ni Logic na ushahidi. Logic ni moja ya topic kwa wanaosoma Advanced Mathematics na Falsafa. Unashangaa kwa sababu inaonekana hujasoma sheria, Advanced Mathematics wala Falsafa. Tumia huu muda kujifunza.
 
Nafikiri kwa sasa ni mahakamani hayo mengine hayana nafasi kwenye ushahidi. Hizo ripoti zinaandikwa na watu ambao wana mirengo tofauti ya kiitikadi. Kwa hiyo zinaweza kupingwa na zikaona hazifai.

Mfano, Zamani kuna report kuhusu mazingira ya ufanyaji biashara ilikuwa inatolewa na WORLD Bank. Lakini baada ya uchunguzi ikabainika kwamba hiyo report ilikuwa inazipendelea baadhi ya nchi kama sikosei China, ni ilibainika kwamba baadhi ya nchi zilikuwa zinaonga fedha ili ziandikwe vizuri kwenye report. Baada ya kubainika World Bank ikasitisha utoaji wa taarifa hiyo na hata walipoanza kuitoa wakabadili na jina.

Kwa hiyo, hakuna report ambayo haiwezi kupigwa kama kuna hoja au imeonesha udhaifu sehemu fulani.

Hizo ndoto mzee
Jibu swali
 
Anao na zaidi ya mara moja ameiambia mahakama anaomba ajadiliane na mawakili wake. Atakosaje mawakili wakati yeye yuko magereza na wao ndio wanaweza kumpatia baadhi ya taarifa anazozitaka kwa ajili ya mwenendo wa kesi? Unachanganya kaumua kujitetea mwenyewe, na kuwa na mawakili. Fanyia kwanza kazi ukweli huo, kisha uje ujadili hayo mengine boss.
Nilichokisema mm ni mawakili kwenye uendeshaji wa hii kesi..najua amekataa mawakili wake wasijiingize kwenye hii kesi ila unapotaka kuwaingiza mawakili wakati yeye amewaambia atajitetea mwenyewe ndipo nakuuliza Lisu kwenye hii kesi anao mawakili anaowatumia kwenye utetezi wake?
 
Back
Top Bottom