Katuga anachofanya kitaalamu kinaitwa "Damage Control" mpaka umeona amekuja na documents za personal information za John Heche unajua ile ijumaa madudu mengi yaliibuliwa ya Serikali pamoja na vyombo vyake vya Dola so anachokifanya katuga kutengeneza ionekane John Heche ni mchafu hastahili kuaminika na Chadema ili mzani uwe sawa But kwa mtu mwenye akili vizuri na wanachama wa Chadema hawatakiwi kuamini hichi anachofanya Katuga Heche amekuwa mbunge kwa muda unajua mbunge anapokea mshahara million 12 nje na marupurupu na ukimaliza muda wa miaka yako mitano bungeni unapewa million 300 hivi Heche anakuaje masikini? Kwa hela anazovuna anashindwaje kuwa na biashara nyingi? Ukishakuwa mbunge hela lazima uwe nazo.Lipi?
Toka jana uko na Heche eti atoe ufafanuzi wa tuhuma gani sijui, Kiongozi atatoa ufafanuzi wa kila kitu kinachoendelea kwenye socials na sio kwenye vikao vya chama?
Manyanza