Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Mkuu Mimi sibishi... Nazungumzia fact
Na Wala Sina mihemko kama unavyofikiri...

Kifupi ni kama ukamatwe na Polisi kwa wizi....Kisha Mahakamani ufunguliwe kesi ya ubakaji...

Hii kesi ya Lissu kuhusu Nia ya kuitisha Serikali haipo mpaka Sasa... Uhaini haupo mpaka Sasa...

Kesi ingetakiwa... Kuchochea Umma kuleta vurugu... Kuchochea Umma wafanye uharibifu wa miundombinu
Mimi siyo mwanasheria lakini wabongo tunakosea kuja na conclusion kwa vitu ambavyo viko mahakamani hususan vinavyowahusu wanasiasa. Kitu ambacho kinatakiwa ni kesi iendeshwe kwa haraka na hukumu itoke, ila sisi kuja na hukumu zetu za ushabiki unatengeneza fursa ya kuona kinachofanyika mahakamani hakistahili na hukumu zinazotolewa na mahakama kuonekana hazina maana.

Kwa hatua ilipofikia tuiachie mahakama na wahusika. Matokeo ya hii kesi yanaweza kuweka base kwa kesi za namna hii huko mbele. Vilevile, tuitumie kwa lengo la kujifunza
 
Lipi?

Toka jana uko na Heche eti atoe ufafanuzi wa tuhuma gani sijui, Kiongozi atatoa ufafanuzi wa kila kitu kinachoendelea kwenye socials na sio kwenye vikao vya chama?
Sio toka jana, hata na kesho ikilazimu, kiongozi ana wajibu wa kutoa ufafanuzi kwa wanachana wake.

Sio nyie huwa mnasema Chadema ni chama cha watanzania?

Au leo ndio kimebadilika kuwa chama cha wajumbe wa KK!.
 
Leo Heche wamemkamata.

Katuga kashamlegeza hapo sijui kama Heche anaujanja tena.

Ukishamtoa mtu uaminifu, na kumfichua mafichoni kwa kumvua nguo. Kinachofuata ni kujipigia.
Hapo uovu ni upi kwamba hela zake ni za magendo? Unajua Mbunge mshahara wake ni kiasi gani? na hapo hujazungumzia marupurupu yote, na Kuna kiasi kikubwa wanapokea baada ya kumaliza miaka yake mitano
 
Hii kesi ndio tumejua mbivu na bichi

Watu Wanakataa Ukweli mbele ya kweli macho makavu👀👀

JOHN HECHE
1) kaikataa Saut yake

2)kamkataa SELE kisa milioni 20

3) kumiliki Magari yupo nayo ma 5
Kadai mawili tu

4) kaikataa media kutumiwa
na Lissu
Mshangao na Lissu kataka jibu liwe kukataa yeye kutumia media kuongea na watz🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
Kakataa mengi tutayaweka apa muda mwafaka!!

🫎 BADO tuwape
Nchi
kuongoza❗️❗️🤔
 
Hilo la gari kapigwa.
Hilo la Huyo jamaa ambaye amesema hamjui alafu akasema anamjua baada ya kuonekana pesa zimeingizwa kwenye akaunti. Amepigwa.

Na baadhi ya taarifa za kiuchaguzi.
Yaani kama ameingiziwa pesa leo na mtu asiyemjua, pia yeye amesema kwasababu ya kuoneshwa utajuaje kama huyo Salha sijui ameingiza pesa kwa niaba ya mtu mwingine? Hoja ya Wakili imekaa tenge sana.
 
NJE YA BOX : TREASON CASE YA TUNDU LISSU

Hii leo 14 September 2026 cross examination ya Ignas Mwinuka na Nassoro Katuga kujaribu kuishawishi Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia maswali ya cross examination yanazidi kuonesha jinsi mfumo wa haki jinai criminal justice system ulivyokuwa kandamizi na kubana wapinzani kuanzia kutochunguza, kutotumia ripoti za madaktari, kushangilia wapinzani kutokwenda kortini kupata haki n.k

Hii inajenga msingi madhubuti kuwa ya mauaji ya 29 Oktober 2025 lazima kwenda The Hague Uholanzi kesi ikasikilizwe huko ICC The Hague

TOKA MAKTABA:
27 May 2013


USHIRIKI WA UMOJA WA AU AFRICAN UNION KULINDA WATAWALA

View: https://m.youtube.com/watch?v=XZVUGUX4Io8
The International Criminal Court ICC The Hague has dismissed as political and inconsequential, a resolution by the African heads of state and government compelling the court to refer to Kenya, the cases that President Uhuru Kenyatta and his deputy face at The Hague based court.

The African leaders in a unanimous decision termed the ICC an institution used by the western nations to humiliate African presidents, and threatened to withdraw from the Rome statute, if the Kenyatta-Ruto cases are not referred, re-investigated or withdrawn altogether.

Request for Relocation (Kenya or Tanzania)
Prior to the full immunity push, Kenyan defense teams and the AU requested that the trials be relocated closer to home—either to Kenya or to the International Criminal Tribunal for Rwanda facilities in Arusha, Tanzania. While the ICC Trial Chamber initially noted that holding parts of the trial in East Africa could be desirable, the ICC Plenary of Judges ultimately rejected the relocation request in August 2013, ruling that the trials must proceed at the court's seat in The Hague
 
Hiyo takwimu ya "wasomaji wengi" umeitoa wapi!!?
Mzee wangu wa Demography Prof. Sichona aliwahi niambia kuwa mtu anayeongelea wengine bila tafiti, huyo ni kilaza pro na muongo zaidi ya shetani.

Wengi mm na mwajuma wangu tayali ni wengi ✅️

Sio mmoja tena❌️
 
Hii kesi ndio tumejua mbivu na bichi

Watu Wanakataa Ukweli mbele ya kweli macho makavu👀👀

JOHN HECHE
1) kaikataa Saut yake

2)kamkataa SELE kisa milioni 20

3) kumiliki Magari yupo nayo ma 5
Kadai mawili tu

4) kaikataa media kutumiwa
na Lissu
Mshangao na Lissu kataka jibu liwe kukataa yeye kutumia media kuongea na watz🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
Kakataa mengi tutayaweka apa muda mwafaka!!

🫎 BADO tuwape
Nchi
kuongoza❗️❗️🤔
Acha wivu wa kijinga.Kumiliki mali ndiyo uanaume.
 
Yaani mfano Mimi niende bank flani.. niombe miamala Yako...
Kwanza watashangaa... Huyu mtu vipi ..unawezaje kuja kuomba miamala ya mtu mwingine?

Mimi ni wakili... Sawa unakibali Cha Mahakama ?
Na kibali lazima kiseme Sababu... Huyu anafanya labda biashara haramu.. au anatakatisha pesa...

Lakini kumbuka wakili haruhusiwi kufanya uchunguzi Bali ni Polisi ...

Kwa hiyo Hawa jamaa ..Mawakili wa Serikali wanabebwa na mfumo
Kwanza kabla hujafika conclusion yako kuhusu namna ya hao mawakili walivyopata hizo taarifa za account unajua Kuna taratibu zipi za kisheria zinazowaruhusu hao kufanya hivyo?

Au tuletee kipande cha Sheria kinachokataza au kutoa utaratibu wa mtu mwingine kupata taarifa zako za akaunti
 
Back
Top Bottom