Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Attachments

  • images (1).png
    images (1).png
    2.6 KB · Views: 12
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 8

Nassoro Katuga: Kama nimekusikia na nikakuelewa, hapa Mahakamani umetaja majina mengi na watu wengi sana.

Uki-relate watu hao kupotea na mambo ya uchaguzi?

Heche: Nakumbuka.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, kwa nature ya ushahidi wako kwamba haya yanatokea sababu ya uchaguzi, je, umewahi kusema namna gani watu wanapotea kwa mapungufu yapi ya sheria ya uchaguzi?

Heche: Sikusema.

Nassoro Katuga: Umewahi kuona familia zinamtafuta mtu wao?

Heche: Nimeona.

Nassoro Katuga: Kila ambaye haonekani ametekwa? Kila ambaye ametoweka ametekwa?

Heche: Familia gani?

Nassoro Katuga: Siyo lazima yako kuniuliza swali.

Nassoro Katuga: Ni nani katika familia aliyekwambia Bwana Simon katoweka?

Heche: Mke wake.

Nassoro Katuga: Mke wake anaitwa nani?

Heche: Siku nyingi, nimemsahau.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kwamba ushahidi wa Simon kutekwa siyo wako, ni wa mke wake.

Heche: Sahihi.

Nassoro Katuga: Nimeusema hapa Mahakamani kwa kuambiwa?

Heche: Ndiyo.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama unafahamu kwamba ushahidi wa kuambiwa hautakiwi Mahakamani.

Heche: Sahihi.

Nassoro Katuga: Unajua au hujui hata ushahidi wanaousoma kwenye vyombo vya habari ni ushahidi wa kuambiwa?

Heche: Sijui.

Nassoro Katuga: Unajua ama hujui ushahidi wako wa msingi lazima uendane na hoja iliyopo Mahakamani?

Heche: Najua.

SUALA LA MZEE SASI

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama katika ushahidi wako ulisema Mzee Sasi baada ya kutoka gerezani alijiunga na Chama chetu, CHADEMA.

Kama suala la Mzee Sasi kutoka gerezani na kuchaguliwa kuwa Diwani lina-relate vipi na kesi?

Heche: Sikueleza.

Nassoro Katuga: Unajua ama hujui unaporejea shauri lolote halihusiki kuthibitishwa, lakini Mahakama ina-take judicial notice?

Heche: Sijui.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama ulitaja namba za kesi za Mzee Sasi na wenzake.

Heche: Sikuzitaja.

JEZI YA ARSENAL

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, ni nani au rafiki gani wa Chama aliyekupa jezi ya Arsenal original yenye jina la Heche?

Heche: Nimenunua mwenyewe.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, hiyo jezi umenunua lini na wapi?

Heche: Ya mwaka gani?

Nassoro Katuga: Uliyonunua kwa Pound 500?

Heche: Tuone.

Nassoro Katuga: Hii hapa, unaweza kuona.

Heche: Waheshimiwa, tupo wengi.

SUALA LA SALMAN NA AKAUNTI

Nassoro Katuga: Unajua mtu anaitwa Salman?

Heche: Simfahamu mtu anaitwa Salman.

Nassoro Katuga: Baada ya Salman kukuchangia pesa, ulipeleka wapi?

Heche: Simfahamu Salman.

Nassoro Katuga: Ni kweli hizi namba za akaunti za CRDB 015222005XXX ni za kwako?

Heche: Ni za kwangu.

Nassoro Katuga: Ni kweli, kwa mujibu wa risiti hii, huyo Salman ameweka milioni 20 katika akaunti yako?

Heche: Ni kweli.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
Ripota, ukiona Katuga anauliza maswali tusiyopenda kuyasikia piga kimya, usiripoti humu
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 9.

Nassoro Katuga: Turudi tena kwenye hoja ya msingi. Kama nilivyosikia katika ushahidi wako, mwezi Desemba 2024 mkajadili uchaguzi wa 2024 na kuazimia “Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi.”

Heche: Ni sahihi.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, Bi. Brenda, alipoiambia Mahakama kwamba “Hakuna Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi,” ilikuwa ni kutoshiriki uchaguzi mpaka mabadiliko, na ilikuwa tusishiriki uchaguzi?

Je, ni maswali mawili sawa au tofauti?

Heche: Brenda wakati anatoa ushahidi sikuwepo.

Nassoro Katuga: Waheshimiwa, naomba ajibu swali.

Jaji Ndunguru: Jibu swali.

Heche: Waheshimiwa, siwezi kumsemea Brenda ambaye hayupo Mahakamani.

Nassoro Katuga: Ushahidi wa kwanza, “No Reforms, No Election,” ulilenga kuzuia uchaguzi.

Na wewe unasema kwamba bila mabadiliko hatutoshiriki uchaguzi.

Ni kitu kilekile au kuna tofauti?

Heche: Waheshimiwa Majaji, napewa ushahidi wa mtu ambaye hayupo.

Jaji Ndunguru: Jibu swali, vinafanana au havifanani?

Heche: Havifanani.

(Mshtakiwa aliomba break ya dakika 5 kidogo.)

Tunaendelea.
 
Mtu (Heche) amekuwa Mbunge, diwani, Mkulima wa parachichi anashindwa vipi kumiliki gari/lori mbili tatu, crown, prado na tractors. Vitu ambavyo ni vya kawaida tuu katika utafutaji! 😊
Mbinu hii ya Wakili kumprovoke shahidi ni mbinu ya kizamani, na haitafanya kazi kwa mtu kama Heche. Ajikite kwenye ushahidi wa msingi.

Tatizo sio kumiliki Tatizo kusema kweli ndio mbele ya Mahakama na Dunia inasikia

Sasa kwanini kasema Uwongo kumbe yeye anamiliki
magari ma 5

Kasema mawili tu
Mpaka kukokotwa kidocument ndio kasema ukweli 🫎🫎✍️
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 8

Nassoro Katuga: Kama nimekusikia na nikakuelewa, hapa Mahakamani umetaja majina mengi na watu wengi sana.

Uki-relate watu hao kupotea na mambo ya uchaguzi?

Heche: Nakumbuka.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, kwa nature ya ushahidi wako kwamba haya yanatokea sababu ya uchaguzi, je, umewahi kusema namna gani watu wanapotea kwa mapungufu yapi ya sheria ya uchaguzi?

Heche: Sikusema.

Nassoro Katuga: Umewahi kuona familia zinamtafuta mtu wao?

Heche: Nimeona.

Nassoro Katuga: Kila ambaye haonekani ametekwa? Kila ambaye ametoweka ametekwa?

Heche: Familia gani?

Nassoro Katuga: Siyo lazima yako kuniuliza swali.

Nassoro Katuga: Ni nani katika familia aliyekwambia Bwana Simon katoweka?

Heche: Mke wake.

Nassoro Katuga: Mke wake anaitwa nani?

Heche: Siku nyingi, nimemsahau.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kwamba ushahidi wa Simon kutekwa siyo wako, ni wa mke wake.

Heche: Sahihi.

Nassoro Katuga: Nimeusema hapa Mahakamani kwa kuambiwa?

Heche: Ndiyo.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama unafahamu kwamba ushahidi wa kuambiwa hautakiwi Mahakamani.

Heche: Sahihi.

Nassoro Katuga: Unajua au hujui hata ushahidi wanaousoma kwenye vyombo vya habari ni ushahidi wa kuambiwa?

Heche: Sijui.

Nassoro Katuga: Unajua ama hujui ushahidi wako wa msingi lazima uendane na hoja iliyopo Mahakamani?

Heche: Najua.

SUALA LA MZEE SASI

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama katika ushahidi wako ulisema Mzee Sasi baada ya kutoka gerezani alijiunga na Chama chetu, CHADEMA.

Kama suala la Mzee Sasi kutoka gerezani na kuchaguliwa kuwa Diwani lina-relate vipi na kesi?

Heche: Sikueleza.

Nassoro Katuga: Unajua ama hujui unaporejea shauri lolote halihusiki kuthibitishwa, lakini Mahakama ina-take judicial notice?

Heche: Sijui.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama ulitaja namba za kesi za Mzee Sasi na wenzake.

Heche: Sikuzitaja.

JEZI YA ARSENAL

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, ni nani au rafiki gani wa Chama aliyekupa jezi ya Arsenal original yenye jina la Heche?

Heche: Nimenunua mwenyewe.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, hiyo jezi umenunua lini na wapi?

Heche: Ya mwaka gani?

Nassoro Katuga: Uliyonunua kwa Pound 500?

Heche: Tuone.

Nassoro Katuga: Hii hapa, unaweza kuona.

Heche: Waheshimiwa, tupo wengi.

SUALA LA SALMAN NA AKAUNTI

Nassoro Katuga: Unajua mtu anaitwa Salman?

Heche: Simfahamu mtu anaitwa Salman.

Nassoro Katuga: Baada ya Salman kukuchangia pesa, ulipeleka wapi?

Heche: Simfahamu Salman.

Nassoro Katuga: Ni kweli hizi namba za akaunti za CRDB 015222005XXX ni za kwako?

Heche: Ni za kwangu.

Nassoro Katuga: Ni kweli, kwa mujibu wa risiti hii, huyo Salman ameweka milioni 20 katika akaunti yako?

Heche: Ni kweli.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Heche bwana.
Anasema hamfahamu Salman lkn anakiri kuwekewa 20M na huyo huyo Salman!

Anakataa kumiliki magari, anapooneshwa documents anakubali!
Kazi ipo...
 
Back
Top Bottom