Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 5.

Mwinuka: Utakubaliana na mimi kwamba katika kufasiri kutoka lugha moja kwenda nyingine, unatambua kwamba ripoti/taarifa inaweza kupotoshwa (distorted) maana kutokana na umahiri wa ufasiri?

Heche: Sijui.

Mwinuka: Kwa sababu ripoti zote zilikuwa za Kiingereza, katika ushahidi wako wa msingi uliomba kuzitoa hapa Mahakamani?

Heche: Siyo za kwangu.

Mwinuka: Kwa hiyo ulileta wewe hapa ripoti Mahakamani?

Heche: Ndiyo.

Mwinuka: Ila kuzileta Mahakamani siyo jukumu lako?

Heche: Ni sahihi.

Mwinuka: Lakini kuzitoa Mahakamani ili tusome wote hukuleta?

Heche: Sahihi.

Mwinuka: Ulisema hizi ripoti zilikuwa hard copy au soft copy?

Heche: Hapana, sikusema.

Mwinuka: Kwa hiyo hatujui kama umechukua ChatGPT ama...

MASUALA YA MASHTAKA

Mwinuka: Turudi kwenye hatima ya mashitaka.

Utakubaliana na mimi kwamba katika viongozi wakuu wa CHADEMA, siyo viongozi wote wa CHADEMA wana mashitaka Mahakamani?

Heche: Kwa sasa ni kweli, siyo wote.

Mwinuka: Ni hivyo hivyo katika ngazi ya Kanda na kwingine, siyo wote kwamba wana mashitaka?

Heche: Wengi wana mashitaka.

Mwinuka: Utakubaliana na mimi kwamba hata katika vyama vingine kuna viongozi wameshtakiwa?

Heche: Sina taarifa za vyama vingine.

Mwinuka: Ndiyo maana mnaona mnaonewa, kwa sababu hamna taarifa za vyama vingine.

Mwinuka: Mheshimiwa, nimehitimisha. Naomba niwaachie wenzangu.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA


SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
naomba kueleweshwa nafasi ya kiongozi na majukumu yake kwenye jamii? mana ukweli sijaelewa haya maswali ya wakili ni kuwa si sawa kuisemea jamii changamoto zake inazokumbana nazo unless nawe uwe sehemu ya muathirika au shuhuda wa moja kwa moja mana naona ananivuruga kuelewa majukumu sahihi ya kiongozi katika jamii husika.
Mbumbumbu haeleweshwi. Jipime wewe ni mbumbumbu au la
 
Kwamba kwa huyo wakili wa Serikali anaona wazi kwamba; kusoma ripoti kwa kiingereza ni jambo linahitaji umahiri katika lugha husika! 😊
Tafsiri yake ni kwamba anajaribu kuieleza mahakama kwamba shahidi (Heche) sio mahiri wa lugha ya kiingereza kusoma na kuelewa ripoti alizoeleza kuzijua mahakamani. 😊

Anajaribu ku "establish" kwamba kwa kuwa ripoti za tume hizo ni za kiingereza: basi zingehitaji mtu kuwa mahiri wa lugha ya kiingereza kuzisoma na kuzielewa. Ni sawa na kusema kusoma habari/makala/ripoti kutoka katika gazeti la kiingereza na kuelewa kunahitaji msomaji awe "mahiri wa lugha" husika.
Vetting ya mtu kuwa wakili mkuu/mwandamizi wa serikali itakuwa ya hovyo sana bila shaka.
 
Ili kufanya uzi usiwe na makoment mengi tuanze kuwa igno hawa vijana wa lumumba union mapema ili wasioenekane kwenye update
Sasa unamwomba nani!
Si uwatoe tu mbaki CHADEMA peke yenu wenye mawazo yanayofanana mana huwa hamtaki mtu anayetofautiana nanyi
 
Heche anapiga siasa Mahakamani

Internet/media → English reports → Heche anatafsiri → source/document foundation haijawekwa wazi.
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 6.

Nassoro Katuga: Waheshimiwa Majaji, nina maswali machache. Naomba kuendelea kwa kadiri atakavyokuwa anajibu, Waheshimiwa Majaji.

Nassoro Katuga: Bwana Heche, kama nimekusikia una miaka 45?

Heche: Ni sahihi.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo nikikuita Bwana Mdogo usijisikie vibaya, kwa sababu nina miaka 52.

Nassoro Katuga: Unajua au hujui kwamba tunataka ushahidi wako uonekane wa uongo?

Heche: Hata kama ni kweli.

Nassoro Katuga: Ni kweli kwamba baba yako anaitwa Suguta?

Heche: Ni kweli.

Nassoro Katuga: Shahidi, una elimu gani?

Heche: Elimu ya Chuo Kikuu.

Nassoro Katuga: Umesomea nini?

Heche: Bachelor of Arts with Education.

Nassoro Katuga: Ulienda chuo direct?

Heche: Nilitoka Form Six nikaenda kusoma Chuo cha Ualimu.

Nassoro Katuga: Huko Chuo cha Ualimu ulisomea nini?

Heche: Diploma ya Ualimu.

Nassoro Katuga: Ni kweli kwamba Form One hadi Form Six ulikuwa unaitwa Charles Wegesa Heche?

Heche: Ni kweli.

Nassoro Katuga: Ni kweli kwamba Form Four ulipata Division Four ya 27?

Heche: Si kweli. Nilipata Division One.

Heche: Huwezi kupata Division Four ukachaguliwa Musoma Alliance.

Nassoro Katuga: Katika familia yenu nani anaitwa David Suguta Heche?

Heche: Ni mdogo wangu.

Nassoro Katuga: Kuna David Suguta wangapi?

Heche: Wapo watatu, na baba yangu alikuwa na wake 8.

Nassoro Katuga: Nani alienda kutibiwa nje ya nchi?

Heche: David Suguta Heche.

Nassoro Katuga: Alienda kutibiwa na nani?

Heche: Tulimchangia.

Nassoro Katuga: Alienda kutibiwa na nani?

Heche: Unataka nikutajie? Hata mimi nilichanga.

Nassoro Katuga: Umeiambia Mahakama una chanzo gani cha kukuingizia mapato kama mshahara au posho?

Heche: Sikuiambia.

Nassoro Katuga: Kwa cheo chako cha Makamu Mwenyekiti, unalipwa posho au mshahara?

Heche: Silipwi chochote.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama ni kweli au si kweli una malori ya ku-operate nchini Kenya?

Heche: Si kweli. (Ha ha ha... mimi ni mkulima wa parachichi.)

Nassoro Katuga: Kwa kuwa hulipwi katika Chama, waambie Waheshimiwa Majaji kuwa una magari 4 ya bei mbaya.

Heche: Hapana. Sina magari mawili, na sijui “bei mbaya” ni ipi.

Nassoro Katuga: Unajua kwamba taarifa za umiliki wa magari zinahifadhiwa TRA?

Heche: Najua.

Nassoro Katuga: Kwa ridhaa ya Mahakama, naomba nikuonyeshe nyaraka hizi.

Heche: Sawa.

Nassoro Katuga: Hizo ni nini?

Heche: Kadi za magari.

Nassoro Katuga: Zipo ngapi?

Heche: Zipo 5, lakini kuna mashine pia kama tractors.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji zinaonyesha umiliki wa kitu gani?

Heche: Hii moja ni tractor, Mitsubishi Canter ya kwangu, Toyota Crown, Hilux Double Cabin na Prado ninayotumia kila siku.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, Mitsubishi ni gari au si gari?

Heche: Ni gari.

Nassoro Katuga: Crown ni gari au si gari?

Heche: Ni gari.

Nassoro Katuga: Prado ni gari au si gari?

Heche: Ni gari.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji ulisema una gari ngapi?

Heche: Niliwaambia gari 2.

MASUALA YA FEDHA NA “TONETONE”

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, hivi utaratibu wa CHADEMA, zile “tonetone”, au kiongozi anapopata mchango kutoka kwa marafiki, anafanya nini?

Heche: Tonetone imeanza juzi.

Nassoro Katuga: Makamu Mwenyekiti anapopata, ukipokea mchango kwa ajili ya Chama, huwa unafanya nini?

Heche: Masuala ya fedha yapo kwa Katibu Mkuu.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo wewe huwezi kupokea fedha?

Heche: Siwezi.

Nassoro Katuga: Zile pesa ulizopokea kwa Nilesh ulipeleka wapi?

Heche: Unaleta majungu ya mtaani hapa?

Nassoro Katuga: Wewe jibu swali, Shahidi.

Heche: Huyo mtu simjui.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
Heche huwa wanasema ni Afsa Kipenyo 🤣🤣🤣

Wanamsingizia wewe lete Update ya kesi Manyanza

Kama ni tatizo la Heche kubwa ni Ushemeji tu kwa mh Lissu
lkn mengine ni Uchonganishi kwake‼️
 
14 September 2026
High of Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania

Treason case no. 19605 / 2025
Republic versus Tundu Lissu


1789373038122.png

PROSECUTOR CROSS-EXAMINES JOHN HECHE IN COURT

PART 1.

THE CASE BEGINS

The Judges are ready in Court. A record massive team of seven state attorneys are ready. The Defendant, Tundu Antipas Lissu, is ready and has entered with the Judges, to avoid having time to speak with the audience.

The Witness, John WagesaHeche, is ready.

9:49 AM

The Court Clerk prepares to read the Criminal Session case, Case No. 19605 of 2025, The Republic versus Tundu Antipas Lissu.

Principal State Attorney, Ajuaye Bilishanga Zegeli, introduces her fellow attorneys:

1. Nassoro Katuga – Principal State Attorney
2. Tawabu Issa – Senior State Attorney
3. Job Mrema – Principal State Attorney
4. Cuthbert Mbilinyi – State Attorney
5. Ignas Mwinuka – Principal State Attorney
6. Waniwa Kasara – State Attorney

Ajuaye Bilishanga Zegeli: Together[7 of us], we represent the Republic.

The Defendant, Tundu Antipas Lissu, is in the dock and represents himself.

The matter has come for defense. We are ready to proceed with the witness DW5 John Heche for cross-examination questions.

Judge Dunstan Ndunguru: Defendant, are you ready?

Tundu Lissu: My Lords, I am ready, let's proceed.

Judge Dunstan Ndunguru: Witness, are you ready?

John Heche: I am ready.

Judge Dunstan Ndunguru: Side of the Republic?

Ajuaye Bilishanga Zegeli: Your Honors, state attorney Ignas Mwinuka will begin.

PROSECUTION'S QUESTIONS FOR JOHN HECHE

Ignas Mwinuka: Witness DW5, as a candidate, how many elections have you participated in?

John Heche: Your Honors, I have participated in three elections.

Ignas Mwinuka: Would I be correct that out of the three elections you participated in, in two you were declared the winner?

John Heche: Under difficulty conditions, and sadly a number of people were killed.

Ignas Mwinuka: Answer, true or not true?

John Heche: It is true.

Ignas Mwinuka: Would I be correct in saying that the ones you won were the Councillor election in 2008 and the Parliamentary election in 2015?

John Heche : Correct

Ignas Mwinuka: In those two elections that you [Heche], won, please tell us if the Police participated in stuffing ballots votes into ballot boxes.

John Heche: The Police have never helped opponents, Your Honors.

Ignas Mwinuka: In those two elections that you [Heche], won, please tell us if agents were prevented.

John Heche: Agents of which side?

Ignas Mwinuka: Were agents of other parties prevented so that you could win?

John Heche: No.

Ignas Mwinuka: You said in 2020 you were not declared by NEC [National Election Commission]?

John Heche: Yes.

Ignas Mwinuka: Do you acknowledge that the results are being challenged in the High Court?

John Heche: I acknowledge it.

Ignas Mwinuka: Please tell us, regarding the 2020 results where you were not declared a winner by NEC, did you go to challenge them in Court?

John Heche: The election was disrupted nationwide, Your Honors.

Ignas Mwinuka: I'm talking about your constituency. Did you go to [court to] challenge it?

John Heche: I didn't challenge it.

Ignas Mwinuka: Please tell us, did you fill out the electoral forms? You have run three times. Would I be correct that one of the criteria for you to run is to correctly fill out the forms?

John Heche: It is one of the criteria; there are many criteria.

Ignas Mwinuka: Would I be correct in saying that you correctly filled out the forms to the extent that you were able to become a Member of Parliament...

John Heche: One of the criteria.

Ignas Mwinuka: Which you fulfilled?

John Heche: That is correct

PART 2:


Ignas Mwinuka: In your evidence you said he was barred from running because he did not fill out the form.

John Heche: I didn't say form.

Ignas Mwinuka: What did you say?

John Heche: I said he was removed.

Judge Dunstan Ndunguru: Let's go slowly.

Ignas Mwinuka: Why was he removed?

John Heche: Because of the [NEC]Commission's being oppressive [instrument].

Ignas Mwinuka: Did you personally fill out the Suzan Kiwanga forms?

John Heche : No.

Ignas Mwinuka: Did you personally fill out the forms for Members of Parliament and Councillors in the 2020 elections?

John Heche : No.

Ignas Mwinuka: Would I be correct in saying that you heard from other candidates?

John Heche: No. for us running for constituency we were in the hall, filling it together.

Ignas Mwinuka: So you were filling out the forms together?

John Heche: No. We were filling out forms together in the hall.

Ignas Mwinuka: Did you explain in your primary evidence?

John Heche : No.

THE INCIDENT OF THE ATTACK ON TUNDU LISU – 7 SEPTEMBER 2017

Ignas Mwinuka: Let's now move to the incident of the attack on the Defendant [Tundu Antipas Lissu] , the issue of 7 September 2017. Do you remember that the then President, John Pombe Magufuli, condemned the incident of the Defendant being attacked?

John Heche: I don't remember.

Ignas Mwinuka: Do you remember the then CCM's Secretary for Ideology and Publicity, [Humphrey] Polepole, issuing a statement of regret and condemnation of the incident on behalf of CCM?

John Heche: you mean Humphrey Polepole, this former ambassador who was abducted?

Ignas Mwinuka: Do you remember the Speaker of Parliament, Job Ndugai, issuing a statement of regret and condemnation of the incident on behalf of Parliament?

John Heche: I remember, and he even formed a committee to investigate under MP Adadi Rajabu* [the former DCI]* .
16 Sept 2005 — On 14 September, Director of Criminal Investigation (DCI) Adadi Rajabu told journalists in Dar es salaam that the committee will conduct a ...
IFEX

Police committee to investigate beating of journalist, human rights activist and ...
Ignas Mwinuka: Do you remember the then Vice President [Samia Suluhu Hassan ] issuing a statement condemning the incident?

John Heche: I remember, and she went to the hospital [to visit Tundu Lissu in hospital].

Ignas Mwinuka: When you say the noteboom was removed, were you there?

John Heche: I didn't say notebook was removed .

Ignas Mwinuka: Did we capture you saying there was a doctor?

John Heche: I said there was a register for the visitors at gate, kept by security guards.

Ignas Mwinuka: Were you at the scene?

John Heche: I wasn't there.

Ignas Mwinuka: I heard you say there was a car tailing him from behind. Did you see it?

John Heche: I heard that from the Defendant himself.


Ignas Mwinuka: So it's tell tell news?

John Heche: I heard it from the Accused himself.

Ignas Mwinuka: You have explained about the parliamentary privileges that he [Tundu Lissu] should have been given, did he ever tell you that he had given you the task of following up his privileges?

John Heche: I was on the CHADEMA caucus Parliamentary Committee that monitored the rights and interests of our MPs.

Ignas Mwinuka: Did you explain that or not?

John Heche: I wasn't asked.

Ignas Mwinuka: Of all the murders you mentioned, how many did you witness with your own eyes?

John Heche: Chacha Isangora and Chacha Marwa ...... [continue to mention names other people who were killed]

Ignas Mwinuka: Don't go there yet, just tell me when you gave evidence how many murders did you say there were?

John Heche: I didn't say.

Ignas Mwinuka: In Arumeru, did you mention the name of who died?

John Heche: I mentioned the one Msafiri Mbwambo.

Ignas Mwinuka: Were you there and did you witness the murders?

John Heche: I wasn't there.

The Republic side is conducting a cross-examination on the Vice Chairman, Hon. John Heche.

Ignas Mwinuka: Who did you mention [names] during the Wenje by-elections who was killed in Rorya?

John Heche: Nyatega Wenje.

Ignas Mwinuka: Did you witness the killers carrying out the murders?

John Heche: I wasn't there.

Ignas Mwinuka: Do you first recognize the legal needs to know the cause of death, must be that confirmed by a professional report?


John Heche: Correct

Ignas Mwinuka: For the murders that you have described about do you know the Causes of death?

John Heche: I did not use medical report

Ignas Mwinuka: In all the murders you described, have you personally participated as a witness in the examination of the bodies, i.e. Postmortem?

John Heche: I did not explain.

Ignas Mwinuka: Let's go back to the kidnapping and disappearance issues, have you personally witnessed someone being kidnapped with your own eyes?

John Heche: With my own eyes, I have never witnessed one.

Ignas Mwinuka: Have you ever witnessed someone disappearing?

John Heche: No.

Ignas Mwinuka: What was CHADEMA's position on the judge Mohamed Chande [Inquiry] report?

John Heche: We did not trust it and it was created in an environment where we knew it would not be public nor was transparency involved.

Ignas Mwinuka: With that position, CHADEMA did not cooperate with the Judge Mohamed Chande's Inquiry commission?

John Heche: Correct.

Ignas Mwinuka: Let's come to these reports. From last year's [2025 ]general elections, what did the East African team of Observers say?

John Heche: The elections were good, fair and did not have any problems. That's what the East African Community EAC said.

Ignas Mwinuka: You didn't explain where you got these reports?

John Heche: I said in the media and social networks.

Ignas Mwinuka: You didn't explain the language used in those reports?

John Heche: I didn't explain in what language it was written.

Ignas Mwinuka: In what language was the Thabo Mbeki Foundation* written?
The Thabo Mbeki Foundation remains dedicated to the achievement of the African Renaissance..
Thabo Mbeki Foundation

Thabo Mbeki Foundation


John Heche: English.

Ignas Mwinuka: What language was this one from the UN?

John Heche: What I saw was English.

Ignas Mwinuka: what about the one from the Commonwealth of Nations?

The Commonwealth is a voluntary association of 56 independent and equal countries, working together to advance prosperity, democracy and peace...
thecommonwealth.org

Commonwealth

John Heche: English

Ignas Mwinuka: World Council of Churches?

John Heche: English.

Ignas Mwinuka: African Union AU statement?

John Heche: English.

Ignas Mwinuka: SADC election Observers too?

John Heche: English.

Ignas Mwinuka: Would you agree with me that you were the one who translated [observers' reports] from English to Swahili here in Court?

John Heche : Correct.

Ignas Mwinuka: You have not explained your competence or language proficiency from English to Swahili?⁷

John Heche: I was not asked.

NB. Now state attorney Nassoro Katuga raises up. Public gallery in court eagerly wait to hear cross examination questions from revered state counsel Nassoro Katuga


Ignas Mwinuka: In interpreting the language, can the meaning of a report be distorted due to the competence of the interpreter?

John Heche: I don't know.

Ignas Mwinuka: Since all the reports are in English, did you request to present them here in Court?

John Heche: It is not my responsibility, I explained them.

Ignas Mwinuka: Are you not the addressee?

John Heche: They [Elections observers Reports ]were presented to all Tanzanians and I am part of Tanzanians.

Ignas Mwinuka: So we don't know if you have taken something from Chartgpt or what?

John Heche: I told you I got it from the [mainstream] media.

Ignas Mwinuka: Is it true that currently all senior CHADEMA leaders are facing charges in court?

John Heche: Many have been charged

Ignas Mwinuka: Leaders of other parties also have cases in court?

John Heche: I can not know the information of other parties.

Ignas Mwinuka: That is why you say you are being oppressed.
I have no other question.

From the public gallery in the court, it seems like Ignas Mwinuka is like he is very worried, I don't know what the problem is. Now, Nassoro Katuga is standing ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=HBOmxa51cC0


Nassoro Katuga: You said you are 45 years old, will I be correct if I call you one of the young turks *[agitating for change] ?

John Heche: It is Okay

Nassoro Katuga: Is your father's name Charles Heche?

John Heche: Yes

Nassoro Katuga: What level of education do you have?

John Heche: University, Bachelor of Education.

Nassoro Katuga: Did you go directly to study for a Degree?

John Heche: First, I studied for a Diploma and then a Degree.

Nassoro Katuga : Did you get a [low achievement] Division 4 form four?

John Heche: Be serious, could I have gone to study at a government school the revered Musoma Alliance for advance level with a division four ?.

Nassoro Katuga: Do you know one Suguta David Heche?

John Heche: I have many younger siblings. My father had 8 wives. I have many younger siblings.

Nassoro Katuga: He was sick and was sent to India and by the way who paid for him?

John Heche: That's right [Suguta was sick], my family and I helped him.

Nassoro Katuga: Did you say you do other work as well ?

John Heche: I didn't say.

The Republic is conducting a Cross-Examination on Vice Chairman Hon. John Heche.

Nassoro Katuga: Do you get an allowance or a salary from CHADEMA party ?

John Heche: I don't get paid anything.

Nassoro Katuga: Do you have trucks operating in Kenya?

John Heche: I don't have trucks

Nassoro Katuga: Do you have cheap cars?

John Heche: How much is cheap?

Nassoro Katuga: I'll show you some motor vehicle registration cards here, tell me how many cars you have?

John Heche: Now there are tractors and some farm vehicles here, what's the problem?

Nassoro Katuga: So how many Mitsubishis and other cars do you have?

John Heche: You have four

Nassoro Katuga: At first you said you had two?

John Heche: At first you asked about cheap cars and I told you two. Now a car that worth 10 million Tanzanian shillings toyota crowns is also a cheap price? Or what is a cheap price for you?

Nassoro Katuga: now, party Vice chairman [John Heche], when you receive party money, where do you send it?

John Heche: Now you say I receive money? Didn't I tell you that the Secretary General is the one who receives it.

Nassoro Katuga: Where did you send the money you received from Nilesh * ?

*Tanzanian businessman Nilesh Suchak (owner of State Oil)

John Heche: Who is that Nilesh? I don't know him. Are you [state attorney Katuga] bringing local gossip and rumours before the high court of Tanzania ?

Nassoro Katuga: Do you remember about the TLS * report?

The Tanganyika Law Society (TLS) is the Bar association of Tanzania Mainland, founded in 1954 by an Act of Parliament – the Tanganyika Law Society Ordinance ...
East Africa Law Society

The Tanganyika Law Society


John Heche: I said the TLS 2026 report.

Nassoro Katuga: Who signed it?

John Heche: Their executive [TLS].

Nassoro Katuga: When you explained about the TLS report, you said 781 [people]were kidnapped?

John Heche: Even judge Mohamed Chande inquiry commission said 700 people their whereabouts is still unknown.

Nassoro Katuga: What language was that report you read in?

John Heche: English

Nassoro Katuga: In 2024 did they issue a kidnapping report?

John Heche: That year they said 83 people, I remember the TLS saying they were kidnapped.

Nassoro Katuga: What year did you say Simon Kanguye was kidnapped?

John Heche: I didn't say when he was kidnapped. But Kanguye was kidnapped in 2016 or 2017, I think.

Nassoro Katuga: Do you know that here in Tanzania there are incidents of kidnappings and killings and burying them existed ?

John Heche: I don't know

Nassoro Katuga: Is there an incident of a woman killing her husband and burying him?

John Heche: I don't know

Nassoro Katuga: Look at Simon Kanguye's statement in the TLS report, his last name. And tell me what the reason is there?

John Heche: He disappeared from the date that mentions him there.

Nassoro Katuga: You know in court it is evidence, we do not do politics.

John Heche: It is evidence.

Nassoro Katuga: Have you ever worked on the investigation into the disappearance of George Kanguye?

John Heche: It's not George, it's Simon

Nassoro Katuga: Have you ever conducted an investigation?

John Heche: I've spoken to his family and they say he hasn't been seen.

Nassoro Katuga: Do you believe the 2024 report? Do you believe it?

John Heche: Now that doesn't include the [Humphrey] Polepoles, the [Nyagali] Mdudes, you don't see many people are in it.

Nassoro Katuga: Do you believe the answer or not?

John Heche: I believe it but things have changed so far.

Nassoro Katuga: Did you tell us where those people who were kidnapped are?

John Heche : You people of the government [criminal justice system], tell us where those you kidnapped are? Tell us now.

Nassoro Katuga: Before you told the judges, did you tell them how he was kidnapped with the evidence of this and that?

John Heche: I didn't say.

Nassoro Katuga: The court is not your mother *, do you know that saying?

* "The Court of Law is not your Mother, it cannot grant reliefs which were not asked.”

John Heche: I am not a lawyer first of all. My mother is called Weisiko and she is at home. The court cannot be my mother. Or are you the court your mother? People

Nassoro Katuga: You mentioned so many people going missing in connection with election matters?

John Heche: I haven't said all of them.

Nassoro Katuga: You said you showed that Kanguye's disappearance is related to the Election Laws?

John Heche: I haven't said anything

Nassoro Katuga: Have you ever seen a family announce [through obituary notice] that our brother is missing?

John Heche: I have seen it.

Nassoro Katuga: Everyone who is not seen is kidnapped?

John Heche: [What do yo mean] Where is he not seen?

Nassoro Katuga: Who told you that he was kidnapped?

John Heche: His wife.

Nassoro Katuga: What is her name?

John Heche: She told me in 2017 that's when I mentioned names.

Nassoro Katuga: So Kanguye was kidnapped, missing or disappeared.

John Heche: We are talking about real people's lives, don't be saddist.

Nassoro Katuga: Do you know that hearsay evidence is inadmissible in court?

John Heche: I told you I read it in the media.

Nassoro Katuga: If you read something in a newspaper, it becomes hearsay?

John Heche: I have information and I have read it [Newspapers], how do you say it is a hearsay now?

Nassoro Katuga: Legally, does your primary evidence relate to the fact in issue?

John Heche: I know.



View: https://m.youtube.com/watch?v=IiNRq1u7AIA


Part 412 will continue in the next post.
 
Kama kuna kasma/malipo serikali ya CCM imeyatenga kwa ajili ya mawakili hawa wa serikali; basi ni wazi malipo hayo wanalipwa bure. Muinuka hakupaswa kuuliza maswali angeketi tuu kwenye mbao za mahakama. Hakuna alicho "challenge" kwenye ushahidi wa Heche.

Wakili mzoefu na mtaalamu, hawezi kudodosa na kuibua hoja kwamba; kusoma ripoti za kiingereza kama za EU, Thabo Mbeki Foundation, na Commonwealth zinahitaji mtu awe mahiri wa lugha ya kiiingereza. 😊

Kwake yeye (wakili wa serikali), ripoti za kiingereza ni suala kubwa sana linalohitaji unahiri kuzisoma na kuzielewa. Hao majaji wakiwa peke yao, wenda huwa wanacheka sana.
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 7.

Nassoro Katuga: Kama nilikusikia vizuri, uliwaambia Majaji ulisoma taarifa ya TLS?

Heche: Ni sahihi.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, ilikuwa ripoti ya tarehe ngapi?

Heche: Ilikuwa ya mwaka 2026.

Nassoro Katuga: Kwani TLS kwa mwaka wanatoa taarifa ngapi?

Heche: Sijui.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo Mahakama ikatafute taarifa gani?

Heche: Ya 2026, ya utekaji.

Nassoro Katuga: Ilikuwa kwa lugha ya Kiingereza?

Heche: Ni sahihi.

Nassoro Katuga: Ilisainiwa na nani?

Heche: Sijui, Mtendaji.

Nassoro Katuga: Jina lake ni nani?

Heche: Sijui jina lake.

Nassoro Katuga: Waliotekwa ni wangapi?

Heche: 781.

Nassoro Katuga: Kwanini mwanzo ulisema 718?

Heche: Sikumbuki kama nilisema ni 718.

Nassoro Katuga: Wakikuta ulitaja 718, wakuone ni muongo?

Heche: Mahakama yenyewe.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama unajua mwaka 2024 ndiyo TLS walitoa taarifa ya utekaji?

Heche: Najua.

Nassoro Katuga: Ilikuwa na watu wangapi?

Heche: 81.

Nassoro Katuga: Ulimtaja Simon Kanguye?

Heche: Ndiyo.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, Kanguye alitekwa wakati gani?

Heche: 2023 au 2024.

Nassoro Katuga: Taarifa za kutekwa Kanguye ulipata wapi?

Heche: Katika vyombo vya habari.

Heche: No, Kanguye siyo 2023; ni katika ya 2017/18 huko.

Nassoro Katuga: Kwa hiyo, Waheshimiwa, wafute ile ya kwanza?

Heche: Ndiyo.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji ile ilikuwa uongo, waombe wafute.

Heche: Naomba wafute.

Nassoro Katuga: Unafahamu kuna taarifa kwamba kuna watu wanapotea kwa kuuana kwa visasi?

Heche: Sifahamu.

Nassoro Katuga: Soma taarifa ya TLS ya 2024. Wanasema Kanguye alifanywaje?

Heche: Aliyowekwa.

Nassoro Katuga: Ulisema chombo cha habari ulichosoma kuhusu Kanguye?

Heche: Sikusema.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji kama umesema ulifanya uchunguzi kuhusu suala la kutoonekana kwa Simon Kanguye.

Heche: Ni kazi ya vyombo vya dola.

Nassoro Katuga: Taarifa ya TLS unaiamini au huiamini?

Heche: Ipi?

Nassoro Katuga: Ya 2024.

Heche: Kuna kina Polepole na Mdude hawamo humo.

Jaji Ndunguru: Unaiamini au huiamini?

Heche: Naiamini.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, taarifa ya huyu Bwana kutekwa umeiambia hii Mahakama kwamba umezipata sehemu gani?

Heche: Nyie watu wa Serikali ndiyo mtuambie yupo wapi.

Nassoro Katuga: Waambie Waheshimiwa Majaji, kabla hujasema huyu mtu katekwa hivi na hivi, kutokana na ushahidi wa huyu...

Heche: Sijaeleza.

Nassoro Katuga: Unajua msemo wa Mahakama, “siyo mama yako”?

Heche: Miye siyo mwanasheria. Najua mama yangu yupo nyumbani.

Nassoro Katuga: Nilisikia unajitapa kwamba unasema sheria open?

Heche: Ndiyo, nilisema.

Nassoro Katuga: Upo mwaka wa ngapi?

Heche: Mwaka wa kwanza.


WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
 
Mtu (Heche) amekuwa Mbunge, diwani, Mkulima wa parachichi anashindwa vipi kumiliki gari/lori mbili tatu, crown, prado na tractors. Vitu ambavyo ni vya kawaida tuu katika utafutaji! 😊
Mbinu hii ya Wakili kumprovoke shahidi ni mbinu ya kizamani, na haitafanya kazi kwa mtu kama Heche. Ajikite kwenye ushahidi wa msingi.
 
WAKILI WA SERIKALI ANAMHOJI JOHN HECHE MAHAKAMANI

SEHEMU YA 4

Mwinuka: Upi ulikuwa msimamo wa CHADEMA dhidi ya Tume ya Chande?

Heche: Msimamo wetu ilikuwa haiaminiki kwa sababu itaficha ukweli na kusafisha watu waliohusika.

Mwinuka: Kwa msimamo huo, kwa sababu ipo katika public domain, hamkutoa ushirikiano kwa Tume hiyo?

Heche: Sahihi.

Mwinuka: Tuje kwenye hizi ripoti ambazo umezungumzia kutokana na uchaguzi wa mwaka jana.

Hebu irudie tena Mahakama isikie.

Heche: Kwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki na haukuwa na tatizo lolote?

Mwinuka: Wewe katika ushahidi wa msingi hujaeleza umezipata wapi?

Heche: Nilisema, Waheshimiwa Majaji, kwamba nimezipata katika mitandao na vyombo vya habari.

Mwinuka: Uli-Google? (akasema “Gogo”).

Heche: Sikueleza nimepata wapi.

Mwinuka: Hukueleza kwamba zilikuwa kwa lugha gani, kwa ripoti za kikanda?

Heche: Sikueleza kwa lugha ipi, hata za ndani.

Mwinuka: Tuje hii ya Thabo Mbeki, iliandikwa kwa lugha gani?

Heche: Ya Kiingereza.

Mwinuka: Hii ya UN?

Heche: Ya Kiingereza.

Mwinuka: Human Rights Commission iliandikwa kwa lugha gani?

Heche: Kwa Kiingereza.

Mwinuka: Hii ya Commonwealth iliandikwa kwa lugha gani?

Heche: Kwa Kiingereza, lakini sikuzungumzia kabisa.

Mwinuka: Ya World Churches?

Heche: Kwa Kiingereza.

Mwinuka: Ya AU?

Heche: Kwa Kiingereza.

Mwinuka: Na AU iliandikwa kwa lugha gani?

Heche: Kwa Kiingereza.

Mwinuka: Utakubaliana na mimi kwamba wewe ndiye uliyefasiri sasa kutoka kwa Kiingereza kuja kwa Kiswahili hapa Mahakamani?

Heche: Ni sahihi.

Mwinuka: Utakubaliana na mimi kwamba hujaeleza umahiri wako wa lugha katika kufasiri hizi ripoti?

Heche: Sikueleza.

WEKA EMOJI KAMA UNASOMA

SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI.
Maswali ya kipumbavu pumbavu tu.
 
Huyu Katuga naye kiande tu. Magari manne na trekta vinamfanya aje kuvizungumzia mahakamani ili kumpanikisha Heche ili amtoe kwenye mstari 😅
Mpangieni nyie basi maswali ya kuuliza
 
Back
Top Bottom