Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

Leo tungejipanga na Update na mwengine ‼️

uyo 🫎🫎🫎Manyanza kajibebesha zigo zito
kwake ❗️

Moyoni mwake kachagua upande tayali kwamba Lissu kaonewa
Tatizo lipo apo‼️

hajui kuhusu Demokrasia kuhusu Updates
Ni Shabiki Shabiki tu😂
 
Heche bwana.
Anasema hamfahamu Salman lkn anakiri kuwekewa 20M na huyo huyo Salman!

Anakataa kumiliki magari, anapooneshwa documents anakubali!
Kazi ipo...
Hivi unajua Kwenda bank na kuomba miamala ya mtu Fulani inahitaji kibali na Sababu Maalum...Tena na mwenye account ajulishwe ..mara nyingi wanaofanya hivi ni Polisi kitengo Cha fedha haramu na sio Mawakili wa Serikali l

Ina maana Mawakili wa Serikali wanajua Salio za account zake zote Heche...
Akienda kulalamika CRDB... Na kufungua kesi ...hii ni suala lingine la hatari

Kuhusu magari...akiulizwa kwenye re examination na Lissu... Akisema magari mawili niliuza na mmiliki hajabadili umiliki ?

Toka kesi imeanza mwaka Jana bado Uhaini na viini vyake havijaanza...tuendelee kusubiri
 
Haya mawazo ya Ki layman. Bush Lawyer endelea kwenye kijiwe chako cha magomeni
 
Hivi unajua Kwenda bank na kuomba miamala ya mtu Fulani inahitaji kibali na Sababu Maalum...Tena na mwenye account ajulishwe ..mara nyingi wanaofanya hivi ni Polisi kitengo Cha fedha haramu na sio Mawakili wa Serikali l

Ina maana Mawakili wa Serikali wanajua Salio za account zake zote Heche...
Akienda kulalamika CRDB... Na kufungua kesi ...hii ni suala lingine la hatari

Kuhusu magari...akiulizwa kwenye re examination na Lissu... Akisema magari mawili niliuza na mmiliki hajabadili umiliki ?

Toka kesi imeanza mwaka Jana bado Uhaini na viini vyake havijaanza...tuendelee kusubiri
Kwahiyo hao mawakili hawajui kama hilo ni kosa na wameenda kufatilia account ya Heche kimakosa?
Na kwenye kesi kubwa namna hii wanauliza jambo ambalo kwanza wao tayari wamefanya kosa!
 
Leo tungejipanga na Update na mwengine ‼️

uyo 🫎🫎🫎Manyanza kajibebesha zigo zito
kwake ❗️

Moyoni mwake kachagua upande tayali kwamba Lissu kaonewa
Tatizo lipo apo‼️

hajui kuhusu Demokrasia kuhusu Updates
Ni Shabiki Shabiki tu😂
Alikuwa anachukia sana mwingine akianzisha live update hapa. Leo kawahi kuanzisha sasa anakatakata tu
 
Heche bwana.
Anasema hamfahamu Salman lkn anakiri kuwekewa 20M na huyo huyo Salman!

Anakataa kumiliki magari, anapooneshwa documents anakubali!
Kazi ipo...
Kwani mtu akikuwekea fedha lazima awe mtu unayemfahamu binafsi? Hiyo ni hoja dhaifu. Mtu anaweza kukutumia au kukuwekea fedha kwa niaba ya mtu mwingine, kwa Nia yake anayoijua
 
MACHADEMA kwasasa nq Wafuasi wao yanafundishana kusema Uwongo tu

Sasa Heche kusema Uwongo wanamsifia🫎🫎🫎😂

Chama cha Wahuni Wahuni kabisa
Ndio wanataka tuwaamini kuwapa Nchi waendeshe wao🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎

Mwacheni Mungu haitwe Mungu wanaumbuka mbele yetu mchana kweupe

MAKAMU MWENYEKITI MUONGO KIASI ICHI CHINI YA KIAPO 😂😂😂 MWENYEKITI MWENYEWE NAYEYE MUONGO
CHINI YA KIAPO🤠🤠

CHADEMA KWISHAAA
 
wanampanikisha ashindwe ku reason out, dah ila kiukweli kwa namna flani katuga yupo vizuri kuchezea psychology ya mtu kama hauna utulivu lazima upuyange dah
Katuga alimshindwa Lissu mwanzo hadi mwisho vilevile Mnyika wengine wote kawaweza ngoja tuone ataishia wapi na Wegesa
 
Kwahiyo hao mawakili hawajui kama hilo ni kosa na wameenda kufatilia account ya Heche kimakosa?
Na kwenye kesi kubwa namna hii wanauliza jambo ambalo kwanza wao tayari wamefanya kosa!
Yaani mfano Mimi niende bank flani.. niombe miamala Yako...
Kwanza watashangaa... Huyu mtu vipi ..unawezaje kuja kuomba miamala ya mtu mwingine?

Mimi ni wakili... Sawa unakibali Cha Mahakama ?
Na kibali lazima kiseme Sababu... Huyu anafanya labda biashara haramu.. au anatakatisha pesa...

Lakini kumbuka wakili haruhusiwi kufanya uchunguzi Bali ni Polisi ...

Kwa hiyo Hawa jamaa ..Mawakili wa Serikali wanabebwa na mfumo
 
Back
Top Bottom