ZirlovimovicZirkov
JF-Expert Member
- Sep 3, 2025
- 358
- 575
KATUGA vs HECHE
Hapo ndio kuna battle sasa 😅
Shida ya Katuga analeta mambo ya mtaani, umbea na unafki.
Maswala ya mwanafamilia kuumwa na michango imahusu Nini mahakamani?
Pesa za tone tone zinakujaje kwenye USHAHIDI???
Umiliki wa Mali binafsi unahusikaje hapo???
Nilichojifunza ni kama mawakili wa serikali wanatumia hiyo nafasi kuwa credibility ya HECHE, Yaani ni kama wanataka kumchomganisha na watu.