Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

Mafundisho potofu.
Aliyekufa na kufufuka kisha kupaa mbinguni ni Yesu Kristo. Mariam ambaye alimzaa Yesu yeye alikufa na kuzikwa kaburini. Huyu mama yeye ubikira wake uliisha alipomzaa Yesu maana pia alizaa watoto wengine ambao ni ndugu zake Yesu. Bibilia takatifu haina fundisho lolote kuhusu kumwabudu huyu mama, mara sijui atuombee kwa Yesu kwa kuwa sisi wakosefu huo ni upotofu maana Yesu mwenyewe alisema lolote tumuombalo Mungu Baba kwa jina Lake tunapata na hakuna jina jingine tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa jina la Yesu. Kwa jina hilo kila goti itapigwa.
 
Kwahiyo mkuu kwa ufupi ukristo unaamini kwama Mungu ni wengi sio moja kama tulivo aaminishwa awali kwamjibu wa nuku zako, au sio mkuu?
 
Kwahiyo mkuu kwa ufupi ukristo unaamini kwama Mungu ni wengi sio moja kama tulivo aaminishwa awali kwamjibu wa nuku zako, au sio mkuu?

Hata kurwani inatumia wingi katika aya nyingi sana. Sio biblia tu.
 
Hata kurwani inatumia wingi katika aya nyingi sana. Sio biblia tu.
Sawa mkuu mkuu na hao wa kurwani takuja ni wa ulize, nikiwapata we nijibu tu sisi wa kristo tuna amini miungu sio moja kama tulivyo kua tuna danganywa na Sunday schools siku zote hizo.
 
Naomba fungu la biblia, misare ya waumini, magombo yote kutoka vatcan yanayo onesha maria alipaishwa. Nakukumbusha mifano kama nabii Elia
 
Sawa mkuu mkuu na hao wakurwani takuja ni waulize we nijibu sisi wakristo tunaamini miungu sio moja tulivyo danganywa na Sunday schools siku zote hizo.

Indeed, We created man from sounding clay moulded from black mud.

Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
 
Sawa mkuu mkuu na hao wa kurwani takuja ni wa ulize, nikiwapata we nijibu tu sisi wa kristo tuna amini miungu sio moja kama tulivyo kua tuna danganywa na Sunday schools siku zote hizo.

Wakrsto wanaamini katika Mungu mmoja mwenye nafsi tatu. Yani umoja katika wingi
 
Naomba fungu la biblia, misare ya waumini, magombo yote kutoka vatcan yanayo onesha maria alipaishwa. Nakukumbusha mifano kama nabii Elia
Hapa wewe acha kuuliza masuali ya kitoto hata bila kupewa hiyo nuku tumia common sense tu, Maria alikua mama wa Mungu mwanae Yesu alikua alisha paishwa mme wake ambaye ni baba wa Yesu alikua tayari juu, sasa kwanini mke abaki aridhini wakati familia yote alikua imesha paishwa? Sisi RC hatuna mengi ni kuamini tu.
 
Indeed, We created man from sounding clay moulded from black mud.

Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Usiniamishe wewe nijibu tu na hao takuja niwauliza nikipata ntu sahihi wa kunijibu.
 
Mkuu imeandikwa wapi kwenye Biblia kuwa Mariam mama wa Yesu alipalizwa kwenda mbinguni?
Hilo andiko la Kitabu cha Ufunuo halimhusu.
 
Nikujibu mara ngapi.?
Hujanijibu bado mkuu sijaona hilo jibu au ni ulize tena... sisi wa kristo tuna amini miungu sio Mungu moja kama tilivyo fundishwa kwenye Sunday schools.
 
Milele Amina
 
Unamaanisha Nini unaposema Kwa mfano wetu?

Binadamu amefanana na Mungu?
 
Ujinga mtupu.
 
Ni vizuri ila Wakristo tuna pingana sisi wa Sabato tunaona wa Catholic kama wenye ile arama ya 666.
Hata Waislam ni hivyo hivyo. Shia na Sunni mnabisha hata hadith ipi ya kweli ipi ya uongo. Khalifa yupi alistahili baada ya mtume. Yaani ni vurugu tupu. Hapo bado Ahmadiyya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…