Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Tumia pesa ikuzoee kijana alafu kuhusu mimba ya bibie Wema sepetu ni collabo pregnant Luis ft .idris sasa aliyeweka kingi cjui nanDah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah
Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady jay dee kafulia ni kweli?