leo temeke haibu tupu!!

festor oyuke

New Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
1
Reaction score
0
jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
 
Dah inaonysha ulikua na xcitment sana ulipopost au ulikua umepania
 
Wametangaza nafasi za kazi au tenda, Mbona hueleweki na povu linalokutoka????
 
Kuna tenda ya kunasua mtu? Sema tuchangamke, mjini mipango
 
Hii kitu ni aibu as ingeelimisha wengi ila naona forum hii imetoa thread zote kitu cha kusaidia kupunguza magonjwa katika jamii. Mbona hata kenya ilitokea?

Hivi forum hii ni ya nini tena maana naona haijakaa kama ina uhuru bali vizingiti kibao?
 
Mzee mzima unatafuta kikosi cha kwenda kuwanasua wagoni???
 
hiyo dawa ya kunasiana inapatikana wapi?
 
Reactions: jyn
mi bado siamini kama ni qeli, aliyeshuhudia kwa macho yake mwenyewe anipe ushuhuda
 
Kuna jipya kwenye hiyo ishu ya jana wadau? Nimesikia jamaa wamenasuliwa kitaalamu ila wamesepa (died)
Kweli? Au ni uzushi bin tetesi zisizo na ukweli?
 
Longolongo tu, si unajua bongo mabingwa kupepeta domo? Kama na shughuli za maendeleo zingeshabikiwa hivyo, mbona tungeipiku Marekani?
 
Tuna tatizo kubwa sana Watanzania, Kiswahili hatujui na Kiingereza pia hatujui, janga la Taifa
 
Hujajibu swali.

Watanzania wangine kutoka na eneo walilotoka hawatofautishi ra/la au ha/a. Hivyo, uwasamehe badala ya kusema aibu wakasema au wakaandika haibu. Badala ya kula wakasema kura au kura wakasema kula.
 
Reactions: jyn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…