festor oyuke
New Member
- Nov 8, 2012
- 1
- 0
jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mzima unatafuta kikosi cha kwenda kuwanasua wagoni???
Haibu ni nini?
mimi ninayo na ukitaka nakupa ila ukifanya masihara inakunasa wewe mwenyewe.kwa hiyo lazima uwe makini.hiyo dawa ya kunasiana inapatikana wapi?
Tanzania ina zaidi ya makabila 120 yenye lafudhi/lafidhi kadha.
labda kwenye ulimwengu wa pili tutakapogeuka vyura! ndio tutaipiku marekani!Longolongo tu, si unajua bongo mabingwa kupepeta domo? Kama na shughuli za maendeleo zingeshabikiwa hivyo, mbona tungeipiku Marekani?
Hujajibu swali.