leo temeke haibu tupu!!

kama ni kweli wamesepa, basi wakumbukwe kuwa mashujaa wa ngono
 
Hayatuhusu hayo, sisi tuna stress zetu za kazi wenyewe wana kula raha zao. Hili ni jukwa la kaz na ajira baaas!
 
Watanzania wangine kutoka na eneo walilotoka hawatofautishi ra/la au ha/a. Hivyo, uwasamehe badala ya kusema aibu wakasema au wakaandika haibu. Badala ya kula wakasema kura au kura wakasema kula.
nimependa sana comment zako..kuna ''post" zengine hadi kero kusoma kutokana na makosa ya matamshi yanayohamia hadi kwenye maandishi!.... ni lugha yetu namba 1 basi tujitahidi jamani
 
huu ulikuwa na uwongo ulipikwa na kusambazwa kwa makusudi
 
jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..
Naona ulipania kweli kiongozi kutokelezea hapa Jamvini,....yaani umejiunga na post Juu......bila hodi hata Mheshimiwa Katavi hatambui uwepo mkuu,ukatupia post pasipo husika lol!....pole sana rudi jukwaa la chini kapige hodi kwanza kisha kiongozi Katavi atakupa muongozo komredi.......Vinginevyo napenda niseme Karibu sana Jukwaani mkuu.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…