Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimependa sana comment zako..kuna ''post" zengine hadi kero kusoma kutokana na makosa ya matamshi yanayohamia hadi kwenye maandishi!.... ni lugha yetu namba 1 basi tujitahidi jamaniWatanzania wangine kutoka na eneo walilotoka hawatofautishi ra/la au ha/a. Hivyo, uwasamehe badala ya kusema aibu wakasema au wakaandika haibu. Badala ya kula wakasema kura au kura wakasema kula.
Naona ulipania kweli kiongozi kutokelezea hapa Jamvini,....yaani umejiunga na post Juu......bila hodi hata Mheshimiwa Katavi hatambui uwepo mkuu,ukatupia post pasipo husika lol!....pole sana rudi jukwaa la chini kapige hodi kwanza kisha kiongozi Katavi atakupa muongozo komredi.......Vinginevyo napenda niseme Karibu sana Jukwaani mkuu.jamani kilicho tokea leo temeke liwe fundisho kwetu vijana mke wa mtu ni sumu mbaya ambayo ikikupata hakika huponi hata chembe! jamaaa imemtokea poani leo..