Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...
Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kua na D 2 za mathe na history uwez nielewa apa🚶🏾♂️🚶🏾♂️Fafanua plz
Ili hali walisha mpiga apo awali😂😂😂🤷🏽♂️Vipi wale wanaokwenda kumpiga shetani mawe.
shetani hafi🤣🤣adui je?Ili hali walisha mpiga apo awali😂😂😂🤷🏽♂️
Hafi nae😂😂shetani hafi🤣🤣adui je?
utasikia ,namuangamiza mtesi wakoo aliekaa kwenye afya Yako uchumi wako ndoa yako,ninani huyo mtesi ?????Hai nae😂😂
😂😂😂🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️utasikia ,namuangamiza mtesi wakoo aliekaa kwenye afya Yako uchumi wako ndoa yako,ninani huyo mtesi ?????
Una changamoto.Vaa nguo.Usitoke nje kichele ukidhani bado giza.Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...
Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
We jamaa unazingua😂😂😂Una changamoto.Vaa nguo.Usitoke nje kichele ukidhani bado giza.