Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Bila kua na D 2 za mathe na history uwez nielewa apaπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈFafanua plz
Ili hali walisha mpiga apo awaliππππ€·π½ββοΈVipi wale wanaokwenda kumpiga shetani mawe.
shetani hafiπ€£π€£adui je?Ili hali walisha mpiga apo awaliππππ€·π½ββοΈ
Hafi naeππshetani hafiπ€£π€£adui je?
utasikia ,namuangamiza mtesi wakoo aliekaa kwenye afya Yako uchumi wako ndoa yako,ninani huyo mtesi ?????Hai naeππ
πππππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈutasikia ,namuangamiza mtesi wakoo aliekaa kwenye afya Yako uchumi wako ndoa yako,ninani huyo mtesi ?????
Una changamoto.Vaa nguo.Usitoke nje kichele ukidhani bado giza.Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...
Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
We jamaa unazinguaπππUna changamoto.Vaa nguo.Usitoke nje kichele ukidhani bado giza.