Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...

Mungu mwenyewe alimshindwa akaamua amtupie huku chini tulipo ili kukwepa zahma
 
Kuna kanisa mmoja maarufu Kimara Temboni kila wiki wanateketeza matatizo Sugu yaliyo shindikana kwa watu wale wale πŸ₯΄
 
Mtoa mada hakuna wa kukulaumu sanasana upongezwe.
Ila kumbuka hivi ni rahisi graduate wa darasa la nne huko ibutamisuji uyui tabora akaekezea mophological setting ya lugha ya kichina?

Hicho ndo unachojaribu kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…