OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Haiwezi tokea kukawa na mfano kama huo. .Kwa hiyo tuseme kwa mfano wangesema wanavaa vitambaa vyeupe kuunga mkono kuangamiza kizazi cha watu weusi, je, ungeendelea na huu msimamo wako, kwenda kucheck game lao kwenye screen?!