Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.

Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.

Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.

Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.

Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
 
=Kwanza rekebisha kauli yko mancity akibeba itakuwa mara nne mfululizo siyo mara sita.
=Pili Tottenham kumpga Leo mancity possibility ni 0.98%
= Tatu mancity bingwa
= Nne nawapongeza arsenal Kwa kumpa challenge mancity na kumaliza nafasi ya pili Kwa misimu miwili mfululizo
Asante
 
Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.Hitimisho la kibingwa sana.Ghayo football unaijua mnoo.Arsenal bingwaaa.
Noted mkuu. Heshima kwako.
 
Back
Top Bottom