Spurz kushinda hiyo game ni miujiza ya mpira tu, but seriously they are not good enough at the moment, while city miezi hii huwa wanawasha moto sana, nina wasiwasi game inaweza kwisha 1st half kwa city kushinda.
Arsenal kukubali kufungwa na Aston Villa naona lilikuwa kosa kubwa sana litakalowagharimu, wenye experience kama Man City wanajua kipindi hiki sio cha kupoteza wala ku draw game.
Hapo ndipo hushinda hata game kumi mfululizo wanachukua ubingwa kwa tofauti ya pointi moja, tena game ya mwisho wakitoka nyuma goli 0-2 wanashinda 3-2 kuanzia dakika ya 75!. Remember Rodrii..... Ilkay Gundogan....
Wale jamaa ni wanyama sana, japo nawaombea Arsenal wachukue ubingwa this time, kwa performance ya aina hii waliyonayo sasa halafu bado watoke mikono mitupu...
Guardiola sio mtu. Inaweza tokea City akaharibu leo kisha Arsenal akaharibu game ya mwisho... football nayo ni pasua kichwa sana.!!