Oya,hujaenda job Leo!?Hahaha GT bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya,hujaenda job Leo!?Hahaha GT bana
West ham Wana majitu yakiamua kulipaki,hushindiMkuu unaonekana hufuatilii mpira vizuri.Hivi unaamini kbsa yule mnyonge Westham anaweza kuichallenge city katika Etihad.
Hakuna mechi rahisi kwa City kushinda Kama ile ya Westham.
Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.
Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.
Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.
Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.
Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
Umeandika kama mtu ambaye hajui lolote kuhusu mpira.November 1 2023 man city akiwa nafasi ya juu alifungwa 2-0 na southampton timu iliyokuwa mkiani kabisa.Tottenham hawezi kumfunga Man city,yaani apoteze points kwa vitimu vingine vya kawaida halafu achukue kwa Man city? Sahau
Kivipi?Mkuu kwa vyovyote vile arsenal awezi beba hii ndoo.
Kwenye EPL washindani ni wawili tu. Liverpool na Man City. Arsenal msimu huu ni ngekewa tuKwenye EPL timu pekee ambayo Ni threat kwa Arsenal is non other than Manchester City,, timu zingine zote Ni miyeyusho tu.
Hi City tutaenda nayo jino kwa jino mpaka tutwae ubingwa bila kujali Muda.
Unanishangaza Sana unapoitaja Liverpool.Kwenye EPL washindani ni wawili tu. Liverpool na Man City. Arsenal msimu huu ni ngekewa tu
tungoje dakika 90 uwanjaniHiyo mechi City hawakuwa na presha yoyote coz tayari walikuwa wameshatwaa ubingwa.Bt this time Ni lazima washinde mechi zote zilizobaki I'll watwae ubingwa
Mimi Ni Arsenal die hard Kama wewe na natamani Sana City wadondeshe point kule Spurs ili tuwe na upper hand ya kushinda taji.tungoje dakika 90 uwanjani
Ni ngumu mno lakini tuwaombee njaa hivyo hivyo bado tuna nafasi last game of the season.Mimi Ni Arsenal die hard Kama wewe na natamani Sana City wadondeshe point kule Spurs ili tuwe na upper hand ya kushinda taji.
Bt mathematically Ni vigumu Sana.
Spurz kapigwa na Chelsea vizuri tu, Arsenal mpaka HT away tukaongoza 0-3, juzi Burnley na ubovu wao wametangulia kupata goli kwa Spurz ndio Spurz wakatoka nyuma kushinda 2-1..Umeongea points nzuri Sana mkuu.City kudrop points at this crucial moment Ni Jambo ambalo haliwezekani kabisa.
Watafanya chochote kushinda hiyo mechi.Afu Spurs nao Ni wanyonge sidhani Kama wataweza kuizuia City.
Ila acha tusubiri tuone coz mpira unakuwaga na maajabu Sana.
Duh, sawa correspondent 😂😂. Naitakia Totenham ushindi ama sare.Mzuka Wanajamvi!