Leo Tottenham kumpokonya Man City Ubingwa

Shibe mbaya sana

We umewauza mashabiki wa Asenyoooo
 
Attachments

  • IMG_5272.jpeg
    IMG_5272.jpeg
    205.9 KB · Views: 2
Unanishangaza Sana unapoitaja Liverpool.
Last season Liverpool walikuwa number ngapi mwishoni mwa msimu?
Huu msimu baada ya kutongoza ligi kwa Muda mrefu wakamuua kobottle.

Mshindani mkubwa wa City Ni Arsenal & vice versa.
Yaani leo hii arsenal ni mshindani wa city? Mshindani gani huyo ambae hata kuchukuo kikombe chochote mbele ya city hawezi? Ngoja uone mwisho wa msimu kabati la arsenal litakusanya vikombe vingapi
 
November 12, 2022 ni msimu uliopita vs brentford
Man city ya Pep inafugwa na yoyote mechi za mapema sio mechi kumi za mwisho ,arsenal na madrid walipaki basi ikawasaidia westham hana huo uwezo viumbe hao wakiuliza maswali,kiufupi wanakela sana spurs waliamua kueaumiza kwa makusudi maana toka pep aje epl hata goli akuwahi kupata spurs arena lakini jana yakapatikana kwasababu yanahitajika
 
Mzuka Wanajamvi!

Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.

Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.

Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.

Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.

Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.
Alisikika deluded asenyani mmoja
 
Sikupingi ila kwa jicho langu la kisoka sikuona totenham kama anaweza mzuia city asichukue point 3. Kuhusu westham tungoje muda utaongea kama itakua ni tofauti ni sawa pia ndio mpira wa miguu ulivyo ila arsenal ubingwa ulikuwa wazi tulizingua wenyewe ikumbukwe tulishakuwa na gap zuri tu la points ila zilidondoshwa kizembe sana.
 
Mzuka Wanajamvi!

Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.

Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.

Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.

Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.

Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.

Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.

Futa huu uzi haraka...
 
Man city ya Pep inafugwa na yoyote mechi za mapema sio mechi kumi za mwisho ,arsenal na madrid walipaki basi ikawasaidia westham hana huo uwezo viumbe hao wakiuliza maswali,kiufupi wanakela sana spurs waliamua kueaumiza kwa makusudi maana toka pep aje epl hata goli akuwahi kupata spurs arena lakini jana yakapatikana kwasababu yanahitajika
Ebu badilisha kauli yko,mancity hajawahi pata goli pale spurs arena, Tottenham FA alitolewa na nani na ktk uwanja gan.
 
Back
Top Bottom