Leo tucheze mchezo huu

Yaani ni full package huyo.

Ila dogo upewe furaha wewe nani yaani?
Sikiliza wewe unayependa uzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Usifikiri kila mahusiano ya ngono ni furaha.
Kila anayekuja katika maisha yako demand yake 100% umpe furaha...
Yeye anachokuletea ni huzuni zake, mizigo yake na balaa zake.

Huo ujinga nilisha staafu, nakula mafao ya furaha yangu mwenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sinaga rafik wa kike

Kuna kibinti kaliwah kutuzoea tulikuwa washikaj watatu marafik sana,kwa muda mrefu hakakuwepo hapo kitaa,kalipofika kakawa mara nyingi tukawa tunatembea nako sehemu mbali mbali,rafik yang aliekuwa anafahamiana nako sana akaniambia nikale

Kweli,siku moja tukapanga mpango,tumetoka tumefika mahali jamaa zangu wakaondoka wakatuacha wenyew,nikapiga swaga zangu pale kakawa kama kamekubal ila akakuniambia moja kwa moja lakin kakaniambia kuwa huwa kanapenda kuwa na urafiki na wanaume lakin mara nyingi kanaishia kutongozwa na kuingia penzin

Kalivyoniambia hvyo niliskitika nikataman nikaambie tuachane na hayo mapenz tuendelee kuwa tu marafik lakin nikahis tena kanaweza jihis vibaya basi ikabid nianze tu kula mzigo na urafik ulipungua haikuwa kama mwanzo maana tulipunguza hata kuwa nako pamoja kila mara
 
Kwahiyo hutoi tena furaha?
 
Ila wanaume akili zenu๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†
 

Na ndio inavyokuwaga, mimi nawaangalia tu wale wadada wanaosema kuwa wanapenda urafiki na wakaka kuliko wadada wenzao sababu ya umbea,hawa wadada wa aina hii wanaliwa kimasihara sana...mimi akuuuuu sitaki ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ