Posts zangu huzioni eeKabisa yan ila tunasubiri ya kwako pia
Hata akikujibu Nikon pale nimekaaKwani si ni mchezo tu...
Ya kwangu tena!! Weeeh mie sina rafiki wa kiume 🤣🤣🤣🤣Kabisa yan ila tunasubiri ya kwako pia
Ukiona hivyo wewe sio best angu,maana best zangu nishawajibu
Sijui kwa nini ila nimejikuta nacheka tu 🤣🤣Ngoja niongee na wakili wangu kwanza.....[emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja nikae kimya[emoji41]
Nmeishiwa nguvuAisee!! Anajua orodha yako yote
Najua unacheka na vingiSijui kwa nini ila nimejikuta nacheka tu [emoji1787][emoji1787]
Anijibu kwanza ile postWeka screen shot bwana, acha kuruka ruka.
Kumbe wewe ndio mwenye shida🤣🤣Anijibu kwanza ile post
Zitoke wapi?Kumbe wewe ndio mwenye shida🤣🤣
Fungua PM nina ujumbe wako best wanguNi kamchezo tu jamani