Wewe hata uombewe maombi ya kufunga ni bure kabisaWatoto wadogo, sio wewe.
π€£π€£π€£Mwanangu, wenye dhambi wakikushawishi, Wewe usikubali.
Mithali 1:10
Ni kweli ni bure maana sina dhambi.Wewe hata uombewe maombi ya kufunga ni bure kabisa
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.π€£π€£π€£
Mdhambi katika ubora wako.
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.π€£π€£π€£
Mdhambi katika ubora wako.
Ili nimtongoze?Ninakugawa bure
Ngoja nikuitie Dr. Mariposa ππ
Nijibu PM basi,mbona kimya umenikaushia!!!π€£π€£π€£π€£π€£
Nishawatongoza woteee.
mdogo wangu huyo jamani...ndugu yangu kabisaa ππLeejay49 ananyota sana halafu wanaendana na mshamba_hachekwi
Mmnhh mtego huu bhn πππHebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo, mtumie msg best friend wako muambie "kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"
Halafu tupe mrejesho wa screenshot.
Kwamba haiwezekani
Anafungaje na huu mchezo kauleta yeyeKafunga aisee
Pm gani mkuu?Nijibu PM basi,mbona kimya umenikaushia!!!
Hujaelewa swali au ndio hutaki kujibu?Kuwa?
Kwahiyo hata PM hujui ???Pm gani mkuu?