Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Una hamu Happycuit nyoosha maelezo usaidiwe😂Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo...mtumie msg best friend wako muambie
"kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"
Halafu tupe mrejesho wa screenshot