Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tumeni bwana hizo screenshots tusogeze Jumapili.WAtu wana stress zao hawataki ujinga😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeni bwana hizo screenshots tusogeze Jumapili.WAtu wana stress zao hawataki ujinga😂😂
Haaa! Mtext yule rafiki mliyeshibana mpo katika urafiki wa kawaida kwa muda mrefu.....mm hata namba yangu huna[emoji85][emoji23]
Sikiliza wewe unayependa uzee😂😂😂Yaani ni full package huyo.
Ila dogo upewe furaha wewe nani yaani?
Kuwa?Naomba unijibu Hilo swali la mleta Uzi....tafadhali 😎😎😎😎😎
Rudia kusoma tenasasa hamu umemaanisha nini....
Kwahiyo hutoi tena furaha?Sikiliza wewe unayependa uzee😂😂😂
Usifijiri kila mahusiano ya ngono ni furaha.
Kila anayekuja katika maisha yako demand yake 100% umpe furaha...
Yeye anachokuletea ni huzuni zake, mizigo yake na balaa zake.
Huo ujinga nilisha staafu, nakula mafao ya furaha yangu mwenyewe😂😂
Ila wanaume akili zenu🙆🙆🙆Sinaga rafik wa kike
Kuna kibinti kaliwah kutuzoea tulikuwa washikaj watatu marafik sana,kwa muda mrefu hakakuwepo hapo kitaa,kalipofika kakawa mara nyingi tukawa tunatembea nako sehemu mbali mbali,rafik yang aliekuwa anafahamiana nako sana akaniambia nikale
Kweli,siku moja tukapanga mpango,tumetoka tumefika mahali jamaa zangu wakaondoka wakatuacha wenyew,nikapiga swaga zangu pale kakawa kama kamekubal ila akakuniambia moja kwa moja lakin kakaniambia kuwa huwa kanapenda kuwa na urafiki na wanaume lakin mara nyingi kanaishia kutongozwa na kuingia penzin
Kalivyoniambia hvyo niliskitika nikataman nikaambie tuachane na hayo mapenz tuendelee kuwa tu marafik lakin nikahis tena kanaweza jihis vibaya basi ikabid nianze tu kula mzigo na urafik ulipungua haikuwa kama mwanzo maana tulipunguza hata kuwa nako pamoja kila mara
Aisee!! Anajua orodha yako yoteDah,kitu kizito [emoji23]View attachment 2629766
Nina exchange furaha kwa furaha, mlango wa shida nimeufunga.Kwahiyo hutoi tena furaha?
Kumbe ndio maana!!Nina exchange furaha kwa furaha, mlango wa shida nimeufunga.
Shida apelekewe SamiaKumbe ndio maana!!
Sawa.Shida apelekewe Samia
Sinaga rafik wa kike
Kuna kibinti kaliwah kutuzoea tulikuwa washikaj watatu marafik sana,kwa muda mrefu hakakuwepo hapo kitaa,kalipofika kakawa mara nyingi tukawa tunatembea nako sehemu mbali mbali,rafik yang aliekuwa anafahamiana nako sana akaniambia nikale
Kweli,siku moja tukapanga mpango,tumetoka tumefika mahali jamaa zangu wakaondoka wakatuacha wenyew,nikapiga swaga zangu pale kakawa kama kamekubal ila akakuniambia moja kwa moja lakin kakaniambia kuwa huwa kanapenda kuwa na urafiki na wanaume lakin mara nyingi kanaishia kutongozwa na kuingia penzin
Kalivyoniambia hvyo niliskitika nikataman nikaambie tuachane na hayo mapenz tuendelee kuwa tu marafik lakin nikahis tena kanaweza jihis vibaya basi ikabid nianze tu kula mzigo na urafik ulipungua haikuwa kama mwanzo maana tulipunguza hata kuwa nako pamoja kila ma
Na ndio inavyokuwaga, mimi nawaangalia tu wale wadada wanaosema kuwa wanapenda urafiki na wakaka kuliko wadada wenzao sababu ya umbea,hawa wadada wa aina hii wanaliwa kimasihara sana...mimi akuuuuu sitaki ujinga huoSinaga rafik wa kike