Leo tucheze mchezo huu

Leo tucheze mchezo huu

Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo, mtumie msg best friend wako muambie "kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"

Halafu tupe mrejesho wa screenshot.
Mmnhh mtego huu bhn 😂😂😂
 
Back
Top Bottom