Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Sijalala jana usiku mama farida na baba farida nakwambia wanagombana hadi majogoo
 
Oya umeme umekatika mwenye zamu ya LUKU afanye mchakato fasta tumechoka kukaa giza banaaa!
 
Oya huku toileti Kuna mtu kanya mavi magumu sijui anategemea nani amfrashie yaende. Yaani Ndoo 6 za maji zimefeli kusukuma mzigo, Imagine!

Atakuwa Kunta Kinte huyu! Sijui ameanza kula kokoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…