Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Oya umeme umekatika mwenye zamu ya LUKU afanye mchakato fasta tumechoka kukaa giza banaaa!
 
Oya huku toileti Kuna mtu kanya mavi magumu sijui anategemea nani amfrashie yaende. Yaani Ndoo 6 za maji zimefeli kusukuma mzigo, Imagine!

Atakuwa Kunta Kinte huyu! Sijui ameanza kula kokoto!
 
Back
Top Bottom