Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

Baba mwenye nyumba kaja kunidai hela ya ftari, namuliza mzee kodi si nshalipa, aah ananipiga mkwara ndio ila haiwezekani nyie mnakula nyama tu humu wakati sie tumejenga.
Nikaona isiwe tabu nikamtoa na buku tano,
Ikawa kama deni mzee kila jioni yumo anadai futari.
Weee kuna siku nilimnywea bapa kaja nikatoka na panga tulikimbizana mpaka polisi post ye mbele mi nyuma kubandeki.
Kufika
Mwenyewe alisema namrudishia kodi yake iliyobaki .
Mi hapo nadai tu rudisha tu usiniletee usenge wako wa futari.
Hakurudisha tukakaa kwa amani hasa baada ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…