The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Huyu msela wa chumba cha kati sijawahi muona akipika au akipita na chakula sijui anakula NGUO ZAKE au VISADO na NDOO ZA MAJI maana mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenye nyumba nna ofa yako jioni upige hata bia 3Nyie wapangaji wa kiume mbona mnabadilisha sana wanawake
Ndio maana huwa sipendi wapangaji ambao hawana familia hapa kwangu kwa nini usitafute mwanamke mmoja ukatulia nae
Mkataba wenu kila mmoja ukiisha siwahitaji hapa kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mm mwenyewe nimeingia nikaliona kimba nikajua labda jini liliingia kumbe ni jingalao
[emoji23][emoji23][emoji23]Mama ally ukimaliza kupika moto usizime,nataka nipashe kiporo changu cha " ubwabwa na malage".
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaaa...We chikumbalanga " chukua bakuli nenda KWA mamaa mudi atuongezee unga wa kukazia ugali fanya harakaaa"
Joanah wangu,kwa ninavyoujua huu ulimi wangu 😅😅😅amini I siamini nikiamua kuutumia effectively huchomoi lazima unipe😅😅Hiyo tabia ya kuchukua kitu moja kwa moja alikuwa nayo pia yule dada Chakorii wa chumba cha pili,siku hizi akija kuomba kitu huwa simpi
Hebu nilifuate hilo chanuo kwa financial services
ongea vzr na Mshana Jr 🙌😂😂😂😂👣👣👣ndukiiiYaani leo sijalala, mapaka yanalia tu dirishani kwangu, lol
Da'VinciJamaa wa chumba cha pili ana jasho kali yani akikupitia kama ASKARI WA HERODI
halafu ni kubwa kinoma, unaweza tumia kama blanket... jana niliwaambia hawakusikia..."aliyesahau chupi lake bafuni akaitoe jamani"