Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama mwenye nyumba huwa mzuri sana wa roho na mwili

Halafu kafanana na mtoto wake yule wa kike

Sijui atakuwa na mdogo wake wa kike nimuoe
 
Kwani si tulikubaliana kunipa mboga ni jukumu lako?πŸ˜‚

Mie niko poa,nipo....habari za wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…