Nikawa na binti ana mashetani, mi napiga show za ugenini kama kawa,sasa mbinu nikifika maskani namtoa mama na 10 pika msosi namuacha funga mlango na kufuli kabisa nje akija yeyote mi sipo.
Bana we siku hiyo yule binti kakasirika kuja home anaambiwa hayupo, na kufuli lipo akatoka we uko wapi niko njiani naenda home,
Ok umefika wapi? Msimbazi center.
Shuka nisubiri, binti kadrive kufika hola
E bana alivyorudi home kino si akavunja mlango kazama ndani? Mzee nna kimeo kingine, nilipigwa mawe kama mwizi siku hiyo hapo kakata mshipa mkononi aliniuma damu chapa chapa nimeweka tattoo kabisa pale.