skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 577
Nina mpango wa kukaa humu siku si nyingi sana baada ya kuwa mtiifu kwa tecno kwa muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ina bei gani hii ? Mie niko OppoNina mpango wa kukaa humu siku si nyingi sana baada ya kuwa mtiifu kwa tecno kwa muda mrefu View attachment 1263666
Mkuu ina bei gani hii ? Mie niko Oppo
Nina mpango wa kukaa humu siku si nyingi sana baada ya kuwa mtiifu kwa tecno kwa muda mrefu View attachment 1263666
Chukua redmi note 7 utafurahi mwenyewe. Mwanzo nilifuatilia sana hii Mi A3 vs Redmi note 7. Nilijikuta nikiridhishwa na redmi note 7.
Licha ya kuwa ulikiwa ni uamuzi mgumu.
Mkuu redmi note 7 iko chini sana kwa Mi A3... Asee mie ntakimbilia Mi A3 iko bomba sana ..Chukua redmi note 7 utafurahi mwenyewe. Mwanzo nilifuatilia sana hii Mi A3 vs Redmi note 7. Nilijikuta nikiridhishwa na redmi note 7.
Licha ya kuwa ulikiwa ni uamuzi mgumu.
Mkuu redmi note 7 iko chini sana kwa Mi A3... Asee mie ntakimbilia Mi A3 iko bomba sana ..View attachment 1264163View attachment 1264164View attachment 1264165View attachment 1264166View attachment 1264167View attachment 1264168
She ngp dukani
Kaka mie Xiaomi nawajua ninamchango mkubwa kuwafanya watanzania wengi mzitumie ,Mimi ndio mwanzilishi wa ule uzi wa Xiaomi na hapa nipo nyuma ya keyboard ya Xiaomi ,redmi 7 ugonjwa wangu no kubadili kila toleo ngoja niitafute pitia kwenye Uzi wangu Mr kilangi masanja unaozungumzia Xiaomi utaona .Niko banned kwa wiki nimeshindwa kuvumilia ndio maana nikaamua kuja na id nyingine.3Gb ram 32Gb Rom
Ni tamu hautoajuta.
Kaka mie Xiaomi nawajua ninamchango mkubwa kuwafanya watanzania wengi mzitumie ,Mimi ndio mwanzilishi wa ule uzi wa Xiaomi na hapa nipo nyuma ya keyboard ya Xiaomi ,redmi 7 ugonjwa wangu no kubadili kila toleo ngoja niitafute pitia kwenye Uzi wangu Mr kilangi masanja unaozungumzia Xiaomi utaona .Niko banned kwa wiki nimeshindwa kuvumilia ndio maana nikaamua kuja na id nyingine.
Kaka Xiaomi always mie naiona ndio kampuni Bora kuliko zote hasa upande wa android wananikosha Sana Sana .nicheki huku 0717135641nikuongezee kitu flani.Ok thanks mkuu. Ukipita kule utanikuta mkuu. Hongera kwa kuanzisha uzi ule, kwa mara ya kwanza nilifahamu uwepo wa xiaomi kupitia uzi wako. Na nikakutana na watu walionisaidia kuipata simu hii kulekule kwenye uzi wako.
Hiyo resolution ya Mi A3 unaionajeMkuu redmi note 7 iko chini sana kwa Mi A3... Asee mie ntakimbilia Mi A3 iko bomba sana ..View attachment 1264163View attachment 1264164View attachment 1264165View attachment 1264166View attachment 1264167View attachment 1264168