Leo tuizungumzie Tecno Spark 4 Air, toleo la simu hii August 2019

Chukua redmi note 7 utafurahi mwenyewe. Mwanzo nilifuatilia sana hii Mi A3 vs Redmi note 7. Nilijikuta nikiridhishwa na redmi note 7.

Licha ya kuwa ulikiwa ni uamuzi mgumu.
Mkuu redmi note 7 iko chini sana kwa Mi A3... Asee mie ntakimbilia Mi A3 iko bomba sana ..
 
3Gb ram 32Gb Rom

Ni tamu hautoajuta.
Kaka mie Xiaomi nawajua ninamchango mkubwa kuwafanya watanzania wengi mzitumie ,Mimi ndio mwanzilishi wa ule uzi wa Xiaomi na hapa nipo nyuma ya keyboard ya Xiaomi ,redmi 7 ugonjwa wangu no kubadili kila toleo ngoja niitafute pitia kwenye Uzi wangu Mr kilangi masanja unaozungumzia Xiaomi utaona .Niko banned kwa wiki nimeshindwa kuvumilia ndio maana nikaamua kuja na id nyingine.
 
Ok thanks mkuu. Ukipita kule utanikuta mkuu. Hongera kwa kuanzisha uzi ule, kwa mara ya kwanza nilifahamu uwepo wa xiaomi kupitia uzi wako. Na nikakutana na watu walionisaidia kuipata simu hii kulekule kwenye uzi wako.
 
Kaka Xiaomi always mie naiona ndio kampuni Bora kuliko zote hasa upande wa android wananikosha Sana Sana .nicheki huku 0717135641nikuongezee kitu flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…