Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You made my day!!
 
jamani nakumbuka popo bawa akifanya yake kwako lazima utangaze wewe uliefanyiwa

wakubwa hamuoni kama kuna kitu kwa mtoa hii mada


nnje ya box
 
Popobawa alikuwa msimu wa joto tu.
Logic iko hivi, msimu wa joto watu wanatoka jasho, nyuchi zao zinakuwa mbichi kwa umande wa jasho, mitaro yao inaloeana jasho! Sasa watu bila kufikiri wakaamua kitafuta mchawi ma wengi wakaamini kuwa kuna lidubwasha linawalowanisha nyuma mtaroni kumbe ni hali ya hewa!
Hamnaga na hakijawahi kuwa na popobawa.
 
Shukran Mkuu
 
Mzee homa ya dengue is real and my friends are suffering right now.Two of them mmoja hali mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…