Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

boarding pia michezo hiyo ilikuwepo wengi wakaachwa wakiwa wasenge, maraia wanabandua afu wanasingiziwa vibwengo..madogo wanalala na chupi, kaptula, suruali ya kushindia, ya darasani, taulo na juu anajifunga kipande cha godoro afu popobawa frank akija anawaambia tulia tulia ukitikisika nakuchana kabisa na mk***u wenyewe afu anamshushia bonge la kofi, basi njuka analiwa kiulaini kisha anapakwa chili source....kesho anaamka mnyoonge....afu wangejua huyo mpuuzi anayewafanyia huo ujinga wangekapiga mpaka wangekaua ni kabwege kwelikweli.
 
Hahahahah daah hatariiii
 
Basi lisemwalo lipo na lilitokea, haiwezekani mtu mzima na akiri zake pia na familia yake ajifedheheshe mbele ya umma kwa kujisema kuwa kaliwa jicho lake for nothing.. watoto wake watamuangalia kwa mtazamo gani, na itampa faida gani..?
 
Kweli mkuu lisemwalo lipo
 
[emoji23][emoji23] Popo bawa alikuwa yupo serious n hatar usipo wambia watu anarudi kwa mara nyngne Tena,, lakini sidhan Kama Kuna mtu alishawah kutokewa na hich ktu aseh,,
 
ila Sheikh Yahya atakuwa alipiga pesa sana enzi za popo bawa! 😂 😂
 
Kumbe ulikuwaga mfiraji?
 
[emoji23][emoji23] Popo bawa alikuwa yupo serious n hatar usipo wambia watu anarudi kwa mara nyngne Tena,, lakini sidhan Kama Kuna mtu alishawah kutokewa na hich ktu aseh,,
Hatarii saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…