Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Leo tujikumbushe na matukio ya popobawa yalitotikisa

Huyu Mimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
2,575
Reaction score
2,117
Habari Wakuu

Leo Nimeona Nikumbushie Enzi Za popobawa Aliyekua Anadaiwa Ni Kiumbe Wa ajabu Anayewaingilia Watu Kinyume na Maumbile Mbaya Zaidi Usipotangaza Eti Anakurudia Tena Yaani Ukitaka asije Unakaa Macho Unapiga Makelel Na mnalala kwa Makundii.

Basi Ipo Hivi Nilisikiaga Redion Wakiongelea Huyu Kiumbee Niliogopa Saaana, Mbaya zaidi Walikua Wanadai Anapita Mtaa Kwa mtaaa

Siku Moja Usiku Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Jinzi Zangu Mbili Nikachukua Kisu na Sufuria Ili Likija Napambana Huku Full maombiii Na Kushituka Shituka Usiku.

Siku Nyingine Ilikua Ni uSiku Nilikua naumwa Na Inatakiwa Saa 7 Niamke Ninywe Dawa . Siku Hiyo Kuogopa Kuingiliwa Nikavaa Sket Ya Dada Na Wigii Nikalala Huku naomba Bahat Mbaya Mvua Ilikua Inanyesha Na Radii za Maaana , Nikiwa Nimelala Usiku Saa Saaba Mzee akaja Kuniamshaaa Sasa Kawa ananipigapiga Kweny T.ako Bila Kuongea Kituu Mimi Si Nikajua Enheeee Ndo Kumekucha Sasa popobawa kaja Nilijikausha Huku Nikitokwa na Machozii . Asubuh Naamka Nalia tuuu Wat Wananishangaa Nimevaa Sketii Nikawambia Mm sitaman Tena Kuishii Popo kanibaka Nikaliaaa Na kuwasimulia Tukio Zima Aiseee Nilichekwa saaana Mzee ndo akanambia ni yeye Alikuja Kuniamshaa.

Mengine muongezee
 
Ha ha ha mleta mada umenichekesha kupita kiasi. We jamaa ni muongo asee eti ikabidi nijikaushe kimya huku ninatokwa na machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeeghh Sasa Ningefanyajee Unakauka Huku Michozii Inachuruzika Hahahhah
 
Hiyo ya nyonya damu ... ilikuwa ni disaster
Nakumbuka kipindi niko shule ya Msingi Tanga enzi hzo siku moja kabla tulianza kusikia tetesi za nyonya damu so kesho yake tukaenda shule fresh.
Sasa bahat mbaya kulikua na shule mbili ambazo ziko karbu karbu sasa shule ya wenzetu ilikua karbu na barabara, sasa sjui waliona nin kule wkaanza kutoka mbio sie huku baada ya kuona hvyo tukaanza kukimbilia mtaani so watu wakawa wanashangaa hawa jamaa nin kimewakuta.
Baada ya muda ndio tunaanza kusakwa mtaani na walimu maana hakuna mwanafunzi aliebaki shulen
 
"Alikuwa anakwamsha kwa kukupiga tko"
Na wewe kwanini ulilala ukabinulia katako juu kama kweli ulikuwa unaogopa popobawa[emoji23]
Katika Kulala Kuna kugeuka Kubadili Poz Nililala Ubavu
 
Back
Top Bottom