Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
Kipato - Dogo Janja

Ngoma kali - Dogo Janja / Young D

Kupendeza -Young D

kumiliki jukwaa - non of above

muonekano wa kistar - Young D
Acha kulisha watu upepo... Yaani nyie watu wa kaskazini kwa kupenda sifa hamjambo.
Kusema dogo janja anaingiza mkwanja mwingi huo ni uongo wa mchana kweupe. Huyo dogo yupo tiptop hivyo kama ni mkwanja anayeingiza ni Tale, huyo dogo anasubiri mshahara mwisho wa mwezi.
Kawaulize wale Yamoto Band bank wana sh ngapi japo ni maarufu kuliko hata hawa wanaojadiliwa hapa.
Unavyomuona Tale unafikiri atakua na tofauti gani na Fella?
Acha ushabiki mandazi kusifia usiyoyajua.
 
Kura yangu kwa Young D anaswaga za hatari na anamuonekano wa kistar napenda pia uimbaji wake

Young killa anajitahidi sana uandishi naona ndo maana wasafi wanataka kumchukua. Dogo janja bado sijamsoma kabisa
 
Kura yangu kwa Young D anaswaga za hatari na anamuonekano wa kistar napenda pia uimbaji wake

Young killa anajitahidi sana uandishi naona ndo maana wasafi wanataka kumchukua. Dogo janja bado sijamsoma kabisa
Hiyo ya wasafi kutaka kumchuka young killer huwa naisikia mara kwa mara.
 
dogo njanjaaaa hao wengine hata siwajui
hao wengine wana hata bodaboda kweli?
Apo killer ndo boss kanunua magari kajenga ana demu mkali anawasaidia ndugu zake .

Uyo Dogo janja gari alinunuliwa na madee birthday kale kasuzuki swift kama miss tz (kama uliwahi kusikia msitari wa birthday tukutane shell)dogojanja anunue gari kwa music gani ?

Uyo teja teja hata sijuagi anaimba nini uyo
 
ahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…