Youngcoast96
New Member
- Apr 8, 2017
- 4
- 3
Young killer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[HASHTAG]#bongo[/HASHTAG] bahati mbaya #Apo killer ndo boss kanunua magari kajenga ana demu mkali anawasaidia ndugu zake .
Uyo Dogo janja gari alinunuliwa na madee birthday kale kasuzuki swift kama miss tz (kama uliwahi kusikia msitari wa birthday tukutane shell)dogojanja anunue gari kwa music gani ?
Uyo teja teja hata sijuagi anaimba nini uyo
Kisa hizo rasta au?Young D aache kumuiga Lil Wayne
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sinaga swaga kabisaaaaaaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Young d role model wa wote
kuna kaukweli hapa [emoji4] [emoji4] [emoji4]Young D ndo kubwa lao hapa, dogo ana swagga na style yake peke yake! Msodoki style yake ndo style ya stamina na fiq q.
[emoji4]ngarenaro ni kubwa kuliko arusha si unajua
hawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.
Young kila nampa heko ya utungaji wa mashairi mazuri kuwazidi wote. maswaka ya vina na urari wa mistari anayaweza.
Young D, nyimbo zenye swaga anaziweza, huwa naskilizaga nyimbo zake kwa stail yake huwa sizichoki. mfano kijukuu, Boma la utete, dada anaolewa etc.
Dogo Janja, huyu ni mjanja mjanja tu hivo hivo, ila ki muziki hawawezi hao jamaa wawili hapo juu. japo si mbaya pia
Maswala ya kuvaa sjui, hayo mi siyawezi, au nani anapiga show kali hayo nayo siwezi, nani anaishi ki super star of coz dogo janja na Young Kila wanajielewa kuliko Young D sjui huwa anakula maharage ya wap Young D anaishi hovyo hovyo sana.
Mkuu itakua unatokea kaskazini , Young D kaanza mziki kabla ya dogo iweje leo aje kuwa role model wake? [emoji23][emoji23][emoji23]hao wote role model wao ni dogo janja, washakiri hivyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimependa uchambuzi wako.Mimi kura yangu ni kwa
Young D
Young Daddy
Paka rapper
Nikija kwa young killer anatunga mashairi vizuri ila simkubali tu.
Huyu dogo janja ni mjanja mjanja tu kama jina lake, ndiyo maana alivyotemwa na madee alipotea. Anabebwa sana yaan siku akitemwa jumla naona atarudi ngarenaro.
[emoji2][emoji2] pamoja mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimependa uchambuzi wako.