luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
It's 2020/2021 season ndo tutatoa team 4Kwetu sie watanzania si ndio furaha,Mwakani Tanzania inaingiza timu tatu,Yanga nao wakiwemo kupitia mgongo wa Simba
Eti wana shangilia simba kutolewa wanasau ya kiwa tunarejea na mapesaaa na tunafi kao Mende keli waleKwetu sie watanzania si ndio furaha,Mwakani Tanzania inaingiza timu tatu,Yanga nao wakiwemo kupitia mgongo wa Simba
😁😁😁😁😁 fc berkane wana kula birihani ya mbuzi maana wanajua leo Gor wananyolewa 6+Nimetafuta sana wapi wameweka betting ya hii mechi niweke mkeka kwa mwarabu lkn naona wenye kampuni za betting wameona hii ya Gor Mahia ni sawa na karuhusu nusu bei
Ipo betpawaNimetafuta sana wapi wameweka betting ya hii mechi niweke mkeka kwa mwarabu lkn naona wenye kampuni za betting wameona hii ya Gor Mahia ni sawa na karuhusu nusu bei
Namtafuta hapa MK254 Simuoni ina maana hajui kama Gor wanqkipiga leo
Kagere aliona mapema akawahi kuja kupata asali na maziwa bongo. Sasa anapanda private jet wakienda kucheza nje. Tuyisenge na Kahata wanasubiri simu kutoka Simba kwa shauku kubwa.Wale ni Wakenya, ndio utafahamu nini maana ya Ukenya, kupambana katika hali yoyote ile, hao wanne watajiunga kwenye kikosi wakiwa wachovu lakini mtashangaa sana jinsi mpira utachezwa.
Pamoja na kwamba nimechukia sana kilichotendeka, lakini Mkenya ni mpambanaji......atalalamika baadaye ila kwa sasa ni kuendana na hali kama ilivyo, ila ingekua Mtanzania, angelia lia mpaka kuzimu waskie.....
Wataalam husema picha moja ni mithili ya maneno elfu moja, naomba ujifunze kitu kwa hii picha hapa chini
View attachment 1071675