Leo Tukisikia Gori Mahia wamepigwa 10 tusishangae

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Unaambiwa mpaka ss ivi wachezaj 8 tu wa Gor ndio wapo ktk jiji la Berikane na mechi inakaribia kuanza majira ya saa 4 kumbuka walisafiri kwa makundi hawa Gor kundi la pili limekwama jijin Casablanca baada ya kukosa ndege ya ku connect mpaka jiji la Berikane ....
Wachezaj hawatukuwa physical fit maana watakuwa wamechoka baada ya safari ndegu toka kenya mpaka moroco then moroco to algeria

Ss leo wa kenya mjiandae kushika kapu kila mmoja na kapu lake la magoli maana leo ni kuchinjwaaaa
 
Nimetafuta sana wapi wameweka betting ya hii mechi niweke mkeka kwa mwarabu lkn naona wenye kampuni za betting wameona hii ya Gor Mahia ni sawa na karuhusu nusu bei
 
😁😁😁😁😁 fc berkane wana kula birihani ya mbuzi maana wanajua leo Gor wananyolewa 6+
 
Nimetafuta sana wapi wameweka betting ya hii mechi niweke mkeka kwa mwarabu lkn naona wenye kampuni za betting wameona hii ya Gor Mahia ni sawa na karuhusu nusu bei
Ipo betpawa

Sent using Brain
 
Namtafuta hapa MK254 Simuoni ina maana hajui kama Gor wanqkipiga leo

Wale ni Wakenya, ndio utafahamu nini maana ya Ukenya, kupambana katika hali yoyote ile, hao wanne watajiunga kwenye kikosi wakiwa wachovu lakini mtashangaa sana jinsi mpira utachezwa.
Pamoja na kwamba nimechukia sana kilichotendeka, lakini Mkenya ni mpambanaji......atalalamika baadaye ila kwa sasa ni kuendana na hali kama ilivyo, ila ingekua Mtanzania, angelia lia mpaka kuzimu waskie.....

Wataalam husema picha moja ni mithili ya maneno elfu moja, naomba ujifunze kitu kwa hii picha hapa chini

1071675
 
View attachment 1071675
Kagere aliona mapema akawahi kuja kupata asali na maziwa bongo. Sasa anapanda private jet wakienda kucheza nje. Tuyisenge na Kahata wanasubiri simu kutoka Simba kwa shauku kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gor wamebugizwa 5 kwa 1.

Simba iliiozesha yanga kwa mazembe huko lubumbashi.
 
Back
Top Bottom