Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ni tamu ila zinawah kukifuZime kaa poa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tamu ila zinawah kukifuZime kaa poa sana
Pia unaweza weka yai katikati inakuwa jicho la mke mwenza eti??Katles nyama inawekwa katikati kama alivyoweka mtoa mada. Kwa jinsi ninavyojua mimi pia ila kama unavyojua mapishi yapo ya aina mbalimbali.
Kweli sio za kupika kila siku jaribu za kuweka mayai ya kuchemsha kati kati piaNi tamu ila zinawah kukifu
😹😹 Mi nimezoea ya puppy, na huko ipo??Twende basi tukale mishkaki 😜
Akikubali niambie niwapelek😹😹 Mi nimezoea ya puppy, na huko ipo??
😅😅😅😹😹😹 hiyo chumvi niliwahi kuzidisha wee palikucha na vile ana gubu, aliongea km kameza flash..!! 🤣
Kwahiyo akatoka salama ukamuacha ale vyako bure tuOya Mwachiluwi ulinipa location nikaenda nilifeli kujibu maana PM yangu inasumbua Sana Ila Kaka itoshe kusema nilitumia hela yote ya resheni na bado dada yule akasema eti yupo kwenye P
Eeee Sina hamu
Kwahiyo humu mi peke yangu sijui kupika 😹😹😹Nami nilizipika majuzi
We thubutu 😅😅😅😅hiyo siliii😹😹 Mi nimezoea ya puppy, na huko ipo??
Kabisa yaani, inakuwa na yai na nyama ingawa sijawahi kupika jicho la mke mwenza nilijifunza tuu. Ila mtoa mada kanitamanisha mno kesho ngoja nipike Katles pia.Pia unaweza weka yai katikati inakuwa jicho la mke mwenza eti??
Kaka na damu nilioona kabisa Sasa ningefanyaje mwanangu wakati anakuja nilishamgusia kuwa tutafanya na alisema sawa kakaKwahiyo akatoka salama ukamuacha ale vyako bure tu
Siku nyingine una mzaba makofi matatu ya nguvu afu una mwambia acha utoto af unaenda kwa muhudumu unamuomba samahani ile ya chumba anakuja kulipa dada pale kasema atalipa anakupa unasepa una mwaacjia msalaKaka na damu nilioona kabisa Sasa ningefanyaje mwanangu wakati anakuja nilishamgusia kuwa tutafanya na alisema sawa kaka
Watu single mnapenda kuweka maji kwenye mabombonya, Sasa akija mgeni unamwekea kwa glass alafu wewe unaweka mdomo wako hapoLeo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
View attachment 3218744
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio nikapata wazo la catress
View attachment 3218747
Nikaanza kuandaa viazi mbatata nikachemsha baada ya kuiva nikaanza kusaga viazi kama ugali
View attachment 3218749
Nilipo hakikisha vipo sawa nikaanda karoti hoho na kitunguu
View attachment 3218751
Nikaviacha nikchukua nyama ambayo nilichemsha nikaisaga vizuri na brenda
View attachment 3218752
Then nikachukua viazi ambavyo nimeviponda nika mix na viuongo vyangu
View attachment 3218753
Ndipo nikaanza kutengeneza mvilingo kupitia mikono katikati nika weka nyama ile ilio sagwa hakikisha mkono unapaka mafuta
View attachment 3218754
Na zilikuwa na muonekano uhu baada ya hapo
View attachment 3218755
Nikachukua mayai niliyo yakologa vizuri unatumbikiza viazi vyako
View attachment 3218756 Weka kimoja kimoja usiwe na haraka hapo njaa ishakata nikaona nimeshiba nikasema uhu ndio mlo wangu wa jioni
View attachment 3218757
Nika nimemaliza na hii inahitaji muda sana kupika hivi
View attachment 3218758
Sawa Half american
Status KakaSiku nyingine una mzaba makofi matatu ya nguvu afu una mwambia acha utoto af unaenda kwa muhudumu unamuomba samahani ile ya chumba anakuja kulipa dada pale kasema atalipa anakupa unasepa una mwaacjia msala
Hayo maji ni special kabisa sijayafungua kabisa yamoto yapo piaWatu single mnapenda kuweka maji kwenye mabombonya, Sasa akija mgeni unamwekea kwa glass alafu wewe unaweka mdomo wako hapo
Mbaya iyo kaka acha status unaweka pembeni kabisa unazabua up siku akikuona atakusimulia kwa wemaStatus Kaka
Ahahahah yaan hapo ndo napokushusha vyeo we jamaa seriouslyHata mchana nilipigq glass yangu ya mtindi bariiid sana baada ya kula ugali mkuu!
Haina tofauti na katles pia mapishi yale yale kuchanganya viazi kisha mayai ya kuchemshaKabisa yaani, inakuwa na yai na nyama ingawa sijawahi kupika jicho la mke mwenza nilijifunza tuu. Ila mtoa mada kanitamanisha mno kesho ngoja nipike Katles pia.
Zikipoa ndo tamu 😅kwani we hujui