Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

Leo tumalize ubishi; Ni msanii gani mkali kuliko wote pale WCB?

Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
6d5521fb1dde3c31f66f210024ece5c0.jpg


-Ndumilakuwili-
Somebody plz tell that chick to stop weed,
Damn!!!

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Baada ya Diamond ni Harmonize...nazani hata CEO mwenyewe analijua hili that z y,anajitahidi sana kumbrand konde boy,ukizingatia ni reflection yake pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana ndomana hata kwenye mitandao ya kijamii harmonize anatukanwa sana tofauti na msanii yoyote wa wasafi...watanzania huwa tunawachukia waliotuzidi.
 
Huyo Lavalava sijui diamond alitumia kigezo kipi kwa msajili ndio flop hapo

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki.


Wapo wanaodai Rayvann ndiye msanii mkali kuliko wote pale WCB, wapo wanaodai Richi Mavoko ni shiiiida yaani anajua mpaka anakera, vilevile wapo wanaovutiwa na uwezo wa uimbaji wa Lavalava pia wapo wanaodai Konde Boy Harmonize uwezo wake sio wa nchi hii .

Bila kusahau wapo wanaodai uwezo wa Diamond Platinums Chibu D Chibu De a.k.a Simbaaaa ni hakunaga kama yeye Tangu dunia iumbwe.


View attachment 584341Diamond Platnumz

View attachment 584342Rayvann

View attachment 584344Konde boy Harmonize

View attachment 584346Mavoko

View attachment 584347Lavalava.


Haya sasa tiririkeni.
Alikiba ndo mkal[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rayvany n kipaji maalum, msimfananishe na ujinga mwingine huo, yani ndio msanii anayeweza kuvaa viatu vya ngweir
 
Diamond ni no 1 no doubt, then tukija kwenye no mbili naomba nimjudge Mavoko kwa career yake ndani ya wcb maana nikimjudge nje ya wcb mpinzani wake atakuwa Diamond pekee, kwa wcb Mavoko anakalishwa na both kondeboy n' Rayvanny maana hajafanya kazi za maana sana, list yangu inakuwa hivi;

1. Diamond
2. Harmonize
3. Rayvanny
4. Mavoko
5. Queen Darlin
6. Lavalava

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom