Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
unajidhalilisha,haichekeshi.Msanii mkali WCB ni Bibi Cheka.
Anadondisha masongi makali sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]MTU ASIEJULIKANA.
Lol....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Somebody plz tell that chick to stop weed,Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
-Ndumilakuwili-
Upo sahihi sana ndomana hata kwenye mitandao ya kijamii harmonize anatukanwa sana tofauti na msanii yoyote wa wasafi...watanzania huwa tunawachukia waliotuzidi.Baada ya Diamond ni Harmonize...nazani hata CEO mwenyewe analijua hili that z y,anajitahidi sana kumbrand konde boy,ukizingatia ni reflection yake pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwa mjiboxer huyu kaa ped[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Quenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
-Ndumilakuwili-
Alikiba ndo mkal[emoji1]Muda mrefu kumekuwa na minong'ono ya chinichini kwamba kuna baadhi ya wasanii pale WCB wana uwezo mkubwa tatizo nyota wengine uwezo wao mdogo ila wanabebwa na kiki.
Wapo wanaodai Rayvann ndiye msanii mkali kuliko wote pale WCB, wapo wanaodai Richi Mavoko ni shiiiida yaani anajua mpaka anakera, vilevile wapo wanaovutiwa na uwezo wa uimbaji wa Lavalava pia wapo wanaodai Konde Boy Harmonize uwezo wake sio wa nchi hii .
Bila kusahau wapo wanaodai uwezo wa Diamond Platinums Chibu D Chibu De a.k.a Simbaaaa ni hakunaga kama yeye Tangu dunia iumbwe.
View attachment 584341Diamond Platnumz
View attachment 584342Rayvann
View attachment 584344Konde boy Harmonize
View attachment 584346Mavoko
View attachment 584347Lavalava.
Haya sasa tiririkeni.
Kibongobongo ukiona hutukanwi jua umepuuzwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo sahihi sana ndomana hata kwenye mitandao ya kijamii harmonize anatukanwa sana tofauti na msanii yoyote wa wasafi...watanzania huwa tunawachukia waliotuzidi.
Itakuwa wameoa wake wawilHalafu mbona hao wote ambao mikono yao imeonekana wamevaa Pete ktk vidole viwili vya mwisho!?
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui kwa nini havai nguo aiseeQuenn Darleen anajua sana ingawa hapo kwa list umempotezea.
-Ndumilakuwili-