Mbona fid mchache sana kwa Stamina fid anakaa!!Aman iwe nannyi wakuu
Nataka leo tumalize ubishi mazee
Iv ni msanii gan wa rap yaan hip hop anaweza fikia hata nusu ya fidq kwa michano na mistar iliyoenda shule
Je kuna msanii mgumu kama fidq japo hata nusu yake tu
Kwa miaka ya nyuma kidogo msanii john makin alishindanishwa na huyu ngosha, je kwa sasa kuna mtu anaweza thubutu kweli kumfananisha fidq na john makin
Naomba tumalize huu ubishi mazee kama kuna msanii wa rap ambaye anaweza fika hata nusu ya fidq
LONDON BABY
We mtoto we mtoto,unatokea Dumila nn?Mbona fid mchache sana kwa Stamina fid anakaa!!
Tanzania mkuu
Fid aliwahi kusema hakuna msanii wa bongo anaeweza kupanda na bit yake ajitokeza stamina akapanda na ile ya mwanza mwanza mbona fid alikubali, hiv haujawahi kuwaona wakipambanishwa jukwaani alafu anapandishwa mrembo wamchane vocal marakibao fid anachemka kwa yule dogo.We mtoto we mtoto,unatokea Dumila nn?
Kimichano mkuu