Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Kwani radio na tv station kwa Tanzania iko clouds pekeyake?SONGA.. NIKKI MBISHI, ONE The Incredible, na crew nzima ya Tamaduni muziki hawa jamaa hawafai ni vile wana bifu na media ya unyonyaji clouds ndo maana hawatoboi... nyimbo zao zmebaki kuwa MAKITABA ZA GETTO.
Cc: power, sifa ya uandishi, mahiri, na zingne nyingi skiliza.