Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Leo tumalize ubishi ni msanii gani wa rap anaweza fika hata nusu ya Fid Q

Brazili samba mapangala samba mbishi ana tamba na sultani tamba haina kubishana bwana yote sawa
 
Fid q is overrated!
Nakubaliana wewe 100%, jamaa is overrated kupitiliza.

1. Nikki mbishi (lyrics, flows, metaphors, word plays na freestyles)
2. One incredible (flows, lyrics, metaphors, wordplays, and jamaa ana flow kwa lugha ya kiingereza kuliko huyo fid)


Hawa jamaa wanamkalisha Fid vizuri tu na anatulia.
 
Aman iwe nannyi wakuu

Nataka leo tumalize ubishi mazee

Iv ni msanii gan wa rap yaan hip hop anaweza fikia hata nusu ya fidq kwa michano na mistar iliyoenda shule

Je kuna msanii mgumu kama fidq japo hata nusu yake tu


Kwa miaka ya nyuma kidogo msanii john makin alishindanishwa na huyu ngosha, je kwa sasa kuna mtu anaweza thubutu kweli kumfananisha fidq na john makin

Naomba tumalize huu ubishi mazee kama kuna msanii wa rap ambaye anaweza fika hata nusu ya fidq

LONDON BABY
Sema tuanze ubishi,siyo tumalize ila kwa sbb ni ngosha haina haja sana Kwani wanajikubali wenyeww
 
Back
Top Bottom